Kwanini watu wanaochukia ndoa wanaongezeka kila kukicha, sisi tunaoendelea kuoa ni fala au?

Cc: Adamu wa Eden and Samson wa Delila
 
Shida ipo hasa pale inatokea baadhi wanaona kama ndio tiketi ya kuyapatia maisha.
 
Yani ndio nimeshapata kibao kimoja hapa nipo chali nasoma uzi wko kijana,,askudanganye mtu ndo ni tamu ukipata mwanamke mwenye akili na anaejitambua ila ukijichagulia makurumbembe lazima nyota ya jiwe uione
 
mama ako akisoma hii comment lazima apate kiwewe
Mama mwenye viji akili upata kiwewe anapo msikia mtoto wake akisema mzazi ni mungu wa pili ...tatizo lenu nyinyi na wazazi wenu akili zenu zimepinduka zimekuwa anithi hivyo amuwezi kupambanua mambo ....mama mwenye akili angempongeza mwanaye kwa kutamka haya ninayo yatamka na kumshukuru mungu kwa kumpata mtoto sahihi siyo wale watoto wapumbavu wanaothani kuwa mzazi ni lazima hawe na akili kuliko mwanawe....
 
Hawa ni baadhi ya matajiri wasiotaka kabisa kusikia mambo ya kuoa

1)Elon Musk 2)Aliko Dangote 3) Floyd Mayweather 4)Cristiano Ronaldo nk Billigate utajiri umeshuka kwa kiasi kikubwa baada ya kutalikiana na aliyekuwa mkewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ