Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 4,130
- 7,412
Mimi huwa nawashangaa sana , kuna vijana wanakunja mpunga huko Youtube tusiwachukulie poa. Mwaka uliopita Diamond kakunja zaidi ya bilion 6 youtube kwa nyimbo yake Diamond Platnumz earns over Sh6.8 billion on YouTube in 2024
NB watengeneza maudhui huko yutube tusiwachukulie poa hata kidogo kama google wanalipa Kwa CPM 1.9$ na mtu kwenye ka clip kamoja ana views 300k ndani ya siku chache tu hata wiki haipiti unadhani anakunja kiasi gani?
Ningekuwa najua kuigiza 🤣 ninhefungua channel leo
Mitandao mbalimbali inaainisha Clam vevo kuwa miongoni mwa channel maarufu zaidi tanzania Top twenty
Kwa haraka haraka kipato chake kwa mwezi ni milion 37-mpaka .milion 100 sasa mtu kama huyo atakosaje bilion ?Estimation ya kipato chake lwa mwezi kulingana na CPM, ni dollar 14000 hadi dollar 44,0000