Kwanini wanawake wengi hukubali kirahisi kuolewa na wanaume wenye mtoto tayari

Kwasababu wanawake ni rahisi kudanganyika na kusamehe, unaweza kumzaba mwanamke kofi ukamuomba msamaha akakusamehe baada ya dakika moja ukamzaba tena kofi ukaomba msamaha na akaendelea kusamehe ila siyo kwa mwanaume unaweza ukamzaba kofi moja urafiki ukaishia hapo
 
Swali la msingi àmbalo labda umelisahau.
Je Nani anayelisha na kuhudumia Familia?

Ukijua jibu la swali hili Huwezi uliza swali kama ulilo uliza.
Inategemea na familia, kuna familia mwanaume peke yake anahudumia familia, kuna familia wote wawili wanahudumia familia halafu kuna familia mwanamke ndiye anahudumia familia.
 
Back
Top Bottom