j_h_kirigini

Senior Member
Dec 31, 2015
138
61
1. Lala nae (muhimu kuliko yote)
2. Mlishe ashibe
3. Muheshimu
4. Mwache awe na amani
5. Usimuingilie katika mambo yake.

Ni ajabu sana wanawake hawawezi kuyafanya haya matano kwa waume zao, ni kwanini?
 
Ni wanawake wako. Sie wengine ututoe. Kwanza nyie ndo kutwa kufatilia mambo yetu
 
Jiulize kwann Mke wangu hanifanyii haya Matano? Akikujibu fyongo jipige kifuani mara 3 halafu sema Mimi ni Bwege "kwa sauti ya JPM"
 
1. lala nae (muhimu kuliko yote)
2. mlishe ashibe
3. muheshimu
4. mwache awe na amani
5. usimuingilie katika mambo yake.

ni ajabu sana wanawake hawawezi kuyafanya haya matano kwa waume zao, ni kwanini?
Tunafanya mnajtia vipofu
 
kwa hakika ukifanya hayo matano bado mwanaume akakusumbua mwanaume wako anamapungufu zaidi ya mwanaume wa kawaida, kwa ufupi atakusumbua
ndo ujue mna changamoto zenu sio kutubandika mabango kila siku wakat tunajua majukumu yetu
 
in fact mwanamke mwenye busara hamfatilii mwanaume kabisa, atafatilia tu kujua usalama wake (mf. kuuliza kama yupo salama akiwa amechelewa kurudi nyumbani na sio kuuliza uko wapi unafanya nn)
Naelewa
 
labda kungwi anajua mpaka kapitiliza hafai tena kuwa mke bali kungwi tu,
Aaah wapi kungwi kapigwa chini ndoa imemshinda,

Anamshauri mwenzie akae nyumbani kwa kutumia ilhali yeye Kutwa kucha kiguu na njia akifunda watu nyumbani hakai aisee
 
Kila mwanamke anaweza haya Ila kero na tabia zenu mbovu Wanaume ndo znatuvunja mioyo
 
Back
Top Bottom