Nimejaribu kuchunguza ma x wangu hasa wa kisukuma na pia hata nilionae sasa nimegundua kuwa wanaume walionao wanamiili ambayo inafanania na wangu yaan ni warefu na sio wembamba ni wa nene au wa wastan na hata nlie nae sasa anawanaume wake wengne wa3 wote wakiwa na miili yenye.
Mwonekano unaofafanana au kukaribiana na wangu.
Hivi ni kwanini najiuliza au ni wanawake wote tuu sema mi case study yangu tu kwa hawa wasukuma ndo inaonyesha result za namna hii.