Kwanini wanandoa wakifumaniwa mwanamke hapigwi?

God'sBeliever

JF-Expert Member
Sep 1, 2015
5,788
3,028
Asilimia 97% kwa ulewa wangu wa mafumanizi yote niliyoyaona mwanamke huwa hapigwi mwanaume ndo wa kupiga.
sasa kama wote wana makosa kwanini wasivunwe pengine hata mwanamke achomwe moto sababu wao ndo wenye vishawishi katika mapenzi?
nachukia sana kuona midume inajisifu eti imepata mgoni na bila kujali wanamtembeza mwanaume
mwenzao uchi wanamchapa viboko na huku fimbo na p*vinaning'inia na wakati huyo mwanaume anamtambulisha yeye. hii ni akili au matope?
hivi hamjui hapo wake zenu ndio wanatega mitego ya kuwanasa wanaume, na kama mwanamke anakupenda kweli hatodhubutu kukusaliti lazima roho yake itamsuta tuu.
kwa kweli nimesema nikibamba fumanizi mahali lazima mwaamke na mwanaume kwa pamoja waadhibiwe haki itendeke, na kiukweli ikitokea mwanamke nitamuadhibu sana maana ninaamini wao ndio chanzo cha sisi kuwafata.
mwisho what goes up must come down.
 
nilipenda fumanizi moja lilitokea huko tanga kwani mwnaume na mwanamke waliadhibiwa wote na la majuzi lilitokea mbeya nakumbuka yule mwanaume aliechapiwa mke aliwamwagia kemikali wote kama sijakosea na yeye kama vipi alijimwagia ili kuepuka karaha za ulimwengo. ila hakufanya poa kujilipua ila nampongeza kwa kitendo cha kishujaa kuwamaliza wote. hio moja sikumbuki ila wote walikua adhabu.
 
Ni ufinyu wa akili kupanga kabisa kuwa unaenda kufumania. Siko kwenye taasisi ya ndoa hivo sisemi sana............. ila iwapo ningekuwa kwenye ndoa whether mume wangu angekuwa anazini na kuwa na nyumba ndogo hata 20 hata siku moja nisingepanga kwenda kumfumania ati hotelini au guest au kwenye gari au kazini.

Sana sana ningekuwa busy kujifunza lugha mbali mbali za dunia hii mfano kireno, kispaniola, ki Italy, kifaransa, pia ningekuwa busy zaidi kujifunza lugha za makabila zaidi ya 30 ya Tanzania mfano kingoni, kiha, kisandawe, kimasai, kimakonde, kihaya. ... yaani ningekuwa boonge ya linguistic halafu hayo mawazo ya kufumania mume yangetoka wapi......

Hahahahahhaa crazy Kasie ndo maana sikupangiwa kuingia kwenye hiyo taasisi ya kufumaniana maana wangesema nimewehuka kwa jinsi ambavyo ninge behave.

Kasie.
 
sijaelewa umuhimu wa comment yako kwa hii thread inshort sijaelewa kabisa
 
Mm hata sideal na mwanaume na deal na mke wangu tu sbb mwanamke akisema no hakuna wa kumgusa.
Mwanamke ukimtongoza akakukatalia huwezi kumfanya kitu chochote. Hata ukiwa naye chumban akisema sijisikii umfanyi chochote.
Hapo nikuacha naye tu
 
Mm hata sideal na mwanaume na deal na mke wangu tu sbb mwanamke akisema no hakuna wa kumgusa.
Mwanamke ukimtongoza akakukatalia huwezi kumfanya kitu chochote. Hata ukiwa naye chumban akisema sijisikii umfanyi chochote.
Hapo nikuacha naye tu
mkuu daaa nashukuru kumpata mtu mwenye mawazo kama yangu. ungelikwepo karibu ningekununulia hata soda. ndo hivyo yani mwanamka akisema no na kweli ni no. ndo maana nikasema wote wanapaswa kubondwa
 
Me mke wangu akiwa anakuja kazini anakuwa na semosi ya maji moto ili akimkuta mchepuko amuogeshe wenzangu wanajua naletewa chai kumbe maji moto hayana ht majani
lakini sio jibu la hiyo mada hapo juu
 
Inaelekea umesoma shule fulani hivi Mbeya tena ya wanaume tu
 
Adundwe tu mwanaume kazi yake Ni kutongoza so atakuwa kamtongoza mwanamke Adundwe tu
 
Nadhani hamna anayestahili kuoigwa! Sheria zipo na zifuatwe!
 
Me mke wangu akiwa anakuja kazini anakuwa na semosi ya maji moto ili akimkuta mchepuko amuogeshe wenzangu wanajua naletewa chai kumbe maji moto hayana ht majani
Mkeo noma sana.... Ha haaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…