Nipo natokea Arusha kuelekea mikoani. Tumesimama Minjingu kama Lisaa tukipisha Msafara na huo msafara mpaka sasa haujapita.
Busara zitumike kuona namna bora ya kusimamisha wananchi wanaosafori kiwahi majukumu mengine ya kitaifa.
Tunawheshimu viongozi wetu ila ni vyema taarifa ya msafara unapotolewa isitoleww kwa kuyazuia magari masaa mawili.
Hakuna sababu ya kufanya hivyo kwani sidhani pia kama ni amri ya viongozi wetu hao. Ni utaratibu unaoweza kuwekwa na polisi wetu.