Hii serikali ya sasa si ya mchezo mchezo walizoea zamani kwamba ukikisaport chama au ukijikomba na kujiweka karibu na serikali iliyoko madarakani basi mambo yako yatanyooka sasa wale wenye biashara illegal ndio wanakuwaga mstari wa mbele.
Unfortunately hii ni serikali ya HAPA KAZI TU....NO SHORT CUT.
Tufanyeni kazi jamani,tupate vipato vyetu halali tujenge Taifa litakalokuwa na watu wanaopenda kufanya kazi halali,mambo haya tukiyaachia leo ni hatari kwa vizazi vijavyo.HII NI AIBU.
Bora umesema ukweli hata ccm wapo!! Na hilo ndilo pango kuu la madawa!Wapo waliopo ndani ya chama chetu kama hifadhi. Wanadhani kuwa CCM ni pango la wachafu. Hata hivyo, binafsi naamini kuwa wadau wa madaw ya kulevya wapo kila chama. Wapo CCM, wapo CHADEMA, wapo CUF
Mkuu na wewe "ushapuliza" tayari,maana hii comment sijaielewa,Wapo waliopo ndani ya chama chetu kama hifadhi. Wanadhani kuwa CCM ni pango la wachafu. Hata hivyo, binafsi naamini kuwa wadau wa madaw ya kulevya wapo kila chama. Wapo CCM, wapo CHADEMA, wapo CUF
Hehehee,nasikia jamaa ana mkemasogange kapangishiwa nyumba na kiongozi wa serikali ipi?
Hapo ndio utajua kwa nini hata kikwete pamoja na resources zote alishindwa..
Hii operation ni geresha na imeshafeli, siweki hata akiba ya maneno. Hii imeshafeli.
Ccm ni ile ile tu.
Re-easy-1 anawachora tu...
msiwe mnapenda kuamini kila mnachosikia watanzania hapo ndipo mnapochemka big time kwa sisi tunaoujua ukweli tunawacheka kwa dharau.masogange kapangishiwa nyumba na kiongozi wa serikali ipi?
Mwongo mkubwa.....akina wema wadada wa mjini wanajua nani anatoka na nanimsiwe mnapenda kuamini kila mnachosikia watanzania hapo ndipo mnapochemka big time kwa sisi tunaoujua ukweli tunawacheka kwa dharau.