Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,709
- 2,373
Kweli kaka, lan hawa jamaa ni shida sanaRoho mbaya tu za Watanzania.! Jitahidi kupambana nao tu., sometime jifanye una appointment na mhusika fulani wa hiyo ofisi.
Unanichekesha sna mkuuMlinzi hata akuone unaenda Bank anaona utafaidi kuliko yeye
Wanajua mkishapata kazi mtawasumbua sana kufungua mageti na magari yenuHivi visa vimenikuta maranyingi sana, lani mlinzi anataka umpe bahasha afungue aisome kwanza ili adhibitishe kama unaomba kazi au mambo mengine.
1. Leo nimetembelea pale TBC- tazara huu mkasa umenikuta, nilienda kuomba internship ya mambo ya IT.
Mlinzi alinitisha pia akasema watu wa IT ni wezi kwahiyo mm naweza iba vitu mule ndani.
2. Issue kama hii ilishatokea Bandarini, pia mlinzi hakutaka niingie ndani hadi nilipozuga naongea na meneja kwenye simu ndo akani ruhusu
Naombeni swaga za kupambana na hawa watu jamani
Kweli bro hapo umenena, nimuhimu tumrudie Mungu kwa nguvu zote kabisa.Hata kwenye ulimwengu wa roho wapo hao walinzi wa mageti. Hao wanaokujibu kwa sasa wanatumika tu bila kujijua au kujua. Utakuta mlinzi anakwambia hakuna kazi humu hata kama kazi zipo. Utajikuta unaishia mlangoni tu hata offisin huingii. Vitu vyote vinaanzia ktk ulimwengu wa roho baadaye vinajidhirisha ktk ulimwengu wa kimwili. Wapangue hao kwa kusali na uwafute kabisa. Ili njia iwe clear. Kwa sasa unaweza ona kawaida lakin baadaye utaona kama kuna kitu sasa. Utakuta hata kipindi cha kutafuta kazi yatajirudia kama usipo muomba Mungu sasa. Na kumbuka mlinzi anaweza kuruhusu nan aingie nani asiingie. PRAY
Mimi ni dadaKweli bro hapo umenena, nimuhimu tumrudie Mungu kwa nguvu zote kabisa.
Sio presentation broo, lani anataka kusoma umeandika nn kwenye bahasha, au anakuambia ajaachiwa apointment na boss wake.Nafikiri wote hawako hivyo. Nakumbuka nilienda kutafuta "GREEN PASTURE" kwenye Taasisi moja binafsi.
Wakaniita interview, nikafika pale mlinzi akaniuliza kishikaji tu "UMEITWA KWENYE TAALUMA KIPI?" Nikamjibu .... Akanitia moyo kwa kusema tena akitabasamu, "Dah! Mna bahati sana mliosomea taaluma hii. Andika kwenye daftari hili & ukifika mapokezi muulizie HR atakuelekeza."
Sinple tu, wako poa. Inategemea na presentation yako kwao.