Huwa kuna vijana wafanyabiashara wanapata upepo mkali wa pesa uelekeo wao wakiwa wadogo kwenye rika la 20s - 30s za mwanzo, Ghafla kuna kipindi inatokea biashara zinayumba nao huanza kudondoka kiuchumi, aina hii ya vijana ni ngumu kuwaona wanajirudi upya, wanaojitahidi kujirudi upya huwa wana hali za kawaida sana.
Zamani alikuwa anatembelea Gari kali ghafla ananza kugombania siti za daladala ama akijitahidi atanunua vitz iliyotumika hapa Bongo, Ajabu ni kwamba wana advantage ya uzoefu, connections, exposure, n.k. kuzidi hao wengine wanaoanza kuzikamata kwenye 40s.
Kinachoshangaza zaidi kuna kina baba na mama ambao maisha yao yote hawajawajji kushika lau milioni 2 kwa mkupuo, Wakifika kwenye 40s ndio wanaanza kuzikamata, aina hii ya watu wakianza kuzikamata huwa ni mdundo mbele kwa mbele, nadra sana kuwakuta wameanguka.