Mimi niwe muwazi tu Baba Mpare na Mama Mchaga na nimekulia Arusha hivyo pia ni Chuga boy-tough guys.
Nimefuatilia kwa miaka mingi sasa wachaga na wapare wanaogopwa sana kwenye uongozi. Nakumbuka wakati fulani mtu anakuja na kulalamika kwamba kuna professor wengi wachaga hiyo ilikuwa miaka ya 1990's pale UD.
Wahaya nao walikuwa hivyo lakini baada ya kushuka sana kiuchumi kwao na kwenye biashara sasa wahaya hawaogopwi tena. Yaani kila mali ukienda a una nyumba lakini ni kwasababu nyie ni wachaga.
Hata mimi kuna watu nikikutana nao na uchuga wangu na .5 ya uchaga wanafikiri ni mchaga wanasema umefanya hili au lile kwasababu ni mchaga! nawaambia mimi ni mpare wanasema ni haohao.
Je, niulize ni kitu gani kinafanya sisi kuogopeka kiasi kwamba kuna nafasi wachaga na wapare wananyimwa kwasababu ya makabila yao. Mfano inadaiwa Magufuli alikuwa anabagua waziwazi wizara ya fedha ambayo ilikuwa na wapare wengi na wachaga tena CPA waliletewe mizengwe mpaka wakaondoka
Niongezee tu ni bora wachague wanawake wa kichaga au kipare kuliko wanaume
Maswali
1. Je, sisi ni wezi na mafisadi sana kiasi ambacho tunaogopeka
2. Je, sisi ni wakabila na tunapendeleana sana
3. Je, ni uoga wa kufanikiwa tukipata fursa
4. Je, haya nayosema si kweli na ni fikra potofu
5. Ni 1, 2 na 3