Robert James Masunga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 414
- 395
Dini ya Uislam ndio tatizo.Kipo kitu nyuma ya pazia ambacho hata Waislam wenyewe inawezekana hawakijui.Ngoja niishie hapo nisije nikasingiziwa islamophobia bure.kuna imani kwamba waarabu kwa sababu moja au nyingine wanawachukia kwa kiasi fulani raia wa nchi za ulaya magharibi. si ajabu sasa makundi ya kiarabu yenye msimamo mkali dhidi ya wazungu wa ulaya magharibi wakifanya mashambulizi ya kigaidi dhidi ya wazungu imma katika ardhi yao au wakiwa popote duniani, makundi haya ya kiarabu hujitokeza na kutangaza hadharani kuwa yamehusika kutekeleza uhalifu huo.
ajabu sasa inakuja pale makundi haya haya ya kiarabu yanapofanya uhalifu uleule au uliopitiliza katika nchi zao zilezile za kiarabu dhidi ya raia wenzao kabisa wa kiarabu.
sikiliza habari mara nyingi tu utasikia bomu limeripuka pakistani, au afghanistani au iraq au syria popote lakini wahusika na wahanga wakubwa wa matukio haya ni waarabu wenyewe katika ardhi za babu zao wenyewe.
swali ni je, kwa nini waarabu wanauana wao kwa wao namna hii?
IQ yetu iko juu kaka maana mbongo umpe Bomu akalipue watu hawezi Fanya ujinga huo maana ana uwezo WA kurizoni kwa nn aue na hiyo ndo IQ .sio unaambiwa kalipue unaenda tu kisa umedanganywa na mambo ya diniMkuu, wanakuambia duniani binadamu wenye highque ndogo akitoka muafrika anaingia muarabu,hawa watu ambao wamekosa elimu ya falsafa!! Wana elimu ya dini tu
Haya hata km msomaji mzuri no chuki za kikabila ,uchu wa madaraka na kogombanishwa na wazungu .waarabu ni udin unawasumbua maaana sunni hampendi shia na roho mbaya ya asili wanayoRejea :-
Mauaji ya Rwanda 1994
Mauaji ya Biafra Nigeria 1970s
Mauaji ya Ethiopia
Mauaji ya Bagsnda Uganda
Mauaji ya leo hii South Sudan
Mauaji ya Somalia
Mauaji ya Zaire / DRC
Mauaji ya Angola
Mauaji ya WW1 vita ya ulimwengu 1 na pili
vita vya Vietnam mk nk
Robert James Masunga
Haya hata km msomaji mzuri no chuki za kikabila ,uchu wa madaraka na kogombanishwa na wazungu .waarabu ni udin unawasumbua maaana sunni hampendi shia na roho mbaya ya asili wanayo
kuna imani kwamba waarabu kwa sababu moja au nyingine wanawachukia kwa kiasi fulani raia wa nchi za ulaya magharibi. si ajabu sasa makundi ya kiarabu yenye msimamo mkali dhidi ya wazungu wa ulaya magharibi wakifanya mashambulizi ya kigaidi dhidi ya wazungu imma katika ardhi yao au wakiwa popote duniani, makundi haya ya kiarabu hujitokeza na kutangaza hadharani kuwa yamehusika kutekeleza uhalifu huo.
ajabu sasa inakuja pale makundi haya haya ya kiarabu yanapofanya uhalifu uleule au uliopitiliza katika nchi zao zilezile za kiarabu dhidi ya raia wenzao kabisa wa kiarabu.
sikiliza habari mara nyingi tu utasikia bomu limeripuka pakistani, au afghanistani au iraq au syria popote lakini wahusika na wahanga wakubwa wa matukio haya ni waarabu wenyewe katika ardhi za babu zao wenyewe.
swali ni je, kwa nini waarabu wanauana wao kwa wao namna hii?
Hitler alikuwa Mwaraabu eeenh !!!No baadhi tu ya nchi za kiislam ndo zilikua na amani nyingi zilikua na migogoro ya ndani kwa ndani sema mnapenda kuwaingiza wazungu sana ila km MNA amani ya kutoka moyoni hata. Aje Mani hawezi kuwagombanisha
Yale makanisa yaliyochomwa Zanzibar siyo tatizo? Hilo tu kwanza. Hao popote walipo ni shida. Ugomvi na mauaji ndo wimbo. Kama Zanzibar isingekuwa ktk muungano ingekuwa kama somalia tu. Umesahau migogoro ya Mombasa ?Imani hiyo ulio nayo ni sawa na imani za watu kuamini kua Yesu ni muumba.
Sipo tyari kulumbana na uzushi ulioaminika.
Waislam wapo Zanzibar kwa asilimia 98 lakin hakuna huo upuuzi unaoamini.
Waislam wapo nchi nyingi sana lakin huo upuuz unaoamini hakuna.
Jiulize swali la msingi kwanini Iraq kwanini Siria Kwann Libya. TUMIA AKILI USITUMIE FUVU KUFIKIRI
Hadi kufikia mwaka 2002 oct Waarabu walikuwa ktk kiwango cha Amani na usalama ikkumbukwe pipa la
mafuta walikuwa wakiuza kwa $120 uchumi wenye furaha... Sasa hapo wajukuu wa Bwana Yesu na wajukuu wa mfalme Daudi wakaona Eeeee hapa tutarudishwa utumwani na tutakandamizwa tena !!
Ndipo genge la maImerialist na Zaiyonit kuanza kuvamia Ngome ya Mbabe Saddam
na kuvunja defense (ulinzi mkuu)
nakupandikiza fitina!!
ikumbukwe kuwa "Fitina ni kiza cha usiku wa manane" kila
mmoja atayaonja siku zijazo!!!
Mauaji ya CAR yanathibitisha !!
Kote ulikotaja yalifanyika mauaji Mara moja na wakaacha kuuana baada ya kujifunza kitu,mauaji ya waarabu ni endelevu toka walipoanza mpaka sasa naamini mpaka keshoRejea :-
Mauaji ya Rwanda 1994
Mauaji ya Biafra Nigeria 1970s
Mauaji ya Ethiopia
Mauaji ya Bagsnda Uganda
Mauaji ya leo hii South Sudan
Mauaji ya Somalia
Mauaji ya Zaire / DRC
Mauaji ya Angola
Mauaji ya WW1 vita ya ulimwengu 1 na pili
vita vya Vietnam mk nk
Robert James Masunga