Ni kweli ni vigumu sana kwa viongozi wa Africa kufanya hivyo because uchu wa madaraka upo kwa sanaKatika nchi za Afrika ni nadra sana kuona kiongozi anajiudhuru hasa pale inapotokea tatizo katika eneo lake la kiuwajibikaji. Viongozi au watu waliopewa dhamana fulani hawana desturi ya kuwajibika wengi husingizia kuwa hilo jambo au tatizo limefanywa na mtu wa chini. Halikadharika katika nchi nyingi za Afrika watu wengi hawana desturi ya kukataa teuzi hata pale ambapo wanaelewa fika kuwa hawana uwezo au wana mgongano wa kimaslahi au kwa kufanya hivyo watadhoofisha taaluma zao.
Hii ni tofauti kabisa na nchi za Ulaya ambapo ni jambo la kawaida kabisa kuona mtu akiwajibika hatakama hakuna ushaidi wa moja kwa moja kama amehusika kwenye jambo fulani. Aidha ni jambo la kawaida mtu kukataaa uteuzi. Hivi karibuni tumesikia viongozi walioteuliwa na Rais wa Marekani wa kikataa nyadhfa kubwa kabisa ambazo zingewaletea heshma pamoja na maslahi makubwa.
Wanataaluma wa kweli ifike sehemu wakatae baadhi ya teuzi ili umahiri walio nao usije ukapotea kwenye nafasi za kisiasa, ambapo anguko la kisiasa linapotokea mtu hupoteza vyote, kwani ukisha kubali kuingia kwenye teuzi za kisiasa na kwa bahati mbaya ukawajibishwa ni ngumu sana kurudi kufanya mambo ya kitaaluma kwa kujiamini kwani anguko linalotokana na siasa lina athari kubwa sana kiasi cha kupoteza kuaminiwa utakapo jaribu kurudi kwenye mambo ya kitaluma.
....na kuamni kuwa tunaweza.....Ajira
Katika nchi za Afrika ni nadra sana kuona kiongozi anajiudhuru hasa pale inapotokea tatizo katika eneo lake la kiuwajibikaji. Viongozi au watu waliopewa dhamana fulani hawana desturi ya kuwajibika wengi husingizia kuwa hilo jambo au tatizo limefanywa na mtu wa chini. Halikadharika katika nchi nyingi za Afrika watu wengi hawana desturi ya kukataa teuzi hata pale ambapo wanaelewa fika kuwa hawana uwezo au wana mgongano wa kimaslahi au kwa kufanya hivyo watadhoofisha taaluma zao.
Hii ni tofauti kabisa na nchi za Ulaya ambapo ni jambo la kawaida kabisa kuona mtu akiwajibika hatakama hakuna ushaidi wa moja kwa moja kama amehusika kwenye jambo fulani. Aidha ni jambo la kawaida mtu kukataaa uteuzi. Hivi karibuni tumesikia viongozi walioteuliwa na Rais wa Marekani wa kikataa nyadhfa kubwa kabisa ambazo zingewaletea heshma pamoja na maslahi makubwa.
Wanataaluma wa kweli ifike sehemu wakatae baadhi ya teuzi ili umahiri walio nao usije ukapotea kwenye nafasi za kisiasa, ambapo anguko la kisiasa linapotokea mtu hupoteza vyote, kwani ukisha kubali kuingia kwenye teuzi za kisiasa na kwa bahati mbaya ukawajibishwa ni ngumu sana kurudi kufanya mambo ya kitaaluma kwa kujiamini kwani anguko linalotokana na siasa lina athari kubwa sana kiasi cha kupoteza kuaminiwa utakapo jaribu kurudi kwenye mambo ya kitaluma.
Udhuru =ya Sababu, ni maelezo ya kutohusika katika makubaliano au mwaliko maalumKujiudhuru = kujiuzulu
Udhuru = "hafla" = "kitu fula cha kufanya": mfano "nina udhuru wa kumtembelea JPM"