Duara ili kuwezesha kujizungusha vyenyeweNatumai mu wazima,
Kama kichwa kinavyouliza ndicho nachotaka kujua.
Tunaona mwezi, dunia, nyota na sayari nyengine zina umbo la duara nimetafakari kwanini vipo hivi nimekosa majibu, then nikaona itakuwa vyema nije niwaulize wadau na wajuzi wa haya mambo.
Nadhani majibu nitayapata.
Karibun.
nyota inazunguka ndio.. dunia inazunguka nyota (jua) nayo nyota-jua inazunguka kwenye galaxy(milkway) magalaxy nayo yanakimbiana yenyewe!!......nyota inazunguka..?
kuna leta nini kuzunguka kwa nyota/jua..?nyota inazunguka ndio.. dunia inazunguka nyota (jua) nayo nyota-jua inazunguka kwenye galaxy(milkway) magalaxy nayo yanakimbiana yenyewe!!......
Based on a distance of 30,000 light years and a speed of 220 km/s, the Sun's orbit around the center of the Milky Way once every 225 million years. The period of time is called a cosmic year. The Sun has orbited the galaxy, more than 20 times during its 5 billion year lifetime.
kwanza tambua mimi ni mtu wa kawaida tu na hizi ni fikra zangu hivyo nakuomba upunguze ukali wa maswali yajayo!gravity force inafanyaje mpaka hivi vitu viwe vya duara/tufe..?
Natumai mu wazima,
Kama kichwa kinavyouliza ndicho nachotaka kujua.
Tunaona mwezi, dunia, nyota na sayari nyengine zina umbo la duara nimetafakari kwanini vipo hivi nimekosa majibu, then nikaona itakuwa vyema nije niwaulize wadau na wajuzi wa haya mambo.
Nadhani majibu nitayapata.
Karibun.
kuna uzi mmoja wa Monstgala una Majibu yote aisee...utafuteNatumai mu wazima,
Kama kichwa kinavyouliza ndicho nachotaka kujua.
Tunaona mwezi, dunia, nyota na sayari nyengine zina umbo la duara nimetafakari kwanini vipo hivi nimekosa majibu, then nikaona itakuwa vyema nije niwaulize wadau na wajuzi wa haya mambo.
Nadhani majibu nitayapata.
Karibun.
Tembea uone yapo adi ya triangleJiulize kwanza kam umewahi kuona pulizo la square?