Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,239
- 7,447
Kuanzia Rais, Makamu, Waziri Mkuu na viongozi wengine wakuu wa kitaifa hupenda kukaa siti ya nyuma kwenye magari na sio siti ya mbele? Nini huwa sababu hasa
Nyuma ya dereva, au nyuma ya bodigadi wake bwashee!sio nyuma tu inatakiw iwe nyuma yz dereva
Mwamba uko fasta hatari hadi ulichoandika kinaleta ukakasi kuelewekaTafiti za ajali zimeonesha hiyo ni soti salama zaidi wakatibwa ajali
Motorcade ya rais inapataje ajali wakati barabara inasafishwaTafiti za ajali zimeonesha hiyo ni soti salama zaidi wakatibwa ajali
HahahahahMwamba uko fasta hatari hadi ulichoandika kinaleta ukakasi kueleweka
hii ndio sababu. Wanaogopa kufaa.Tafiti za ajali zimeonesha hiyo ni soti salama zaidi wakatibwa ajali
Kuna watu inawezekana wako nyuma ya nondo kutolea ufafanuzi wa hili jamboLeo dodoma waziri mkuu gari yake ilizimika ghafla njiani ikabidi apandishwe zile gari za kusindikiza msafara na hapo tayari magari ya nyuma yalikua tayari yameruhusiwa.
Ilikua bonge la ishu maana kila mtu aliona. Nmejiuliza sana, kuhusu usalama wake na pia maintanance ya gari anayotembelea i.e mercedez benz.
Baada ya kubadilishwa chapchap gari ikabadilishwa namba hapohapo barabarani na kuanza kuendeshwa taratibu kwenda kwenye makazi yake
Na kweli. Maana kila mara hua wanatusimamisha ili tupishe misafara hata mara kumi kwa siku. Na kuna mmoja anaeendesha pikipiki iko siku atadondoka vbaya maana hua ana masifa. Lakini leo ile kitu ilikua ya ajabu maana ni hadharani kabisaKuna watu inawezekana wako nyuma ya nondo kutolea ufafanuzi wa hili jambo
Leo dodoma waziri mkuu gari yake ilizimika ghafla njiani ikabidi apandishwe zile gari za kusindikiza msafara na hapo tayari magari ya nyuma yalikua tayari yameruhusiwa.
Ilikua bonge la ishu maana kila mtu aliona. Nmejiuliza sana, kuhusu usalama wake na pia maintanance ya gari anayotembelea i.e mercedez benz.
Baada ya kubadilishwa chapchap gari ikabadilishwa namba hapohapo barabarani na kuanza kuendeshwa taratibu kwenda kwenye makazi yake
🤣🤣🤣🤣🤣 hatari. Ungewaona walivokua wanahaha.. hatari sana. Na joto la dom plus suti.Duu! Huyo mechanic wa hilo gari moto utakuwa umemuwakia leo balaa!