Kwanini uwekeze kwenye soko la Hisa na Mitaji?

greater than

JF-Expert Member
Sep 22, 2018
1,634
2,874
Kuna masoko takribani matano ya mitaji
  • Soko la hati fungani
  • Soko la hisa
  • Soko la Kubadilisha fedha
  • Soko la Cryptocurrency/ Fedha za crypto
  • Soko la Bidha/Dar Mercantile market
Hayajepewa kibali na hakuna mamalaka inayosimamia....Usishiriki, sitoliongelea kwani bado sijajua mfumo wa kuliendesha na ushiriki kwenye soko.
  1. KUTENGENEZA FAIDA KIFEDHA
Sababu kubwa ya kushiriki kwenye masoko ya mitaji,ni kuweza kutenegeneza faida. Kwa Tanzania Soko la Hati fungani ndiyo lina faida kubwa sana kiuwekezaji,kwani linaweza kukupatia hadi 15.5% ya fedha zako kwa mwaka.

2. KULINDA HELA YAKO ISISHUKE THAMANI
Kwa kipindi cha miaka 10,kiwango cha (wastani) wa mfumuko wa bei wa bei ni 5.%. Yaani thamani ya pesa imekuwa ikipungua kwa 5% kwa mwaka kutokana na kupanda kwa gharama ya maisha...
  • Unapowekeza kwenye Hati fungani,Gawio la chini la Riba mwisho wa mwaka ni 10 lakini kama upo hati Fungani ya miaka 25,utapata 15.5%
  • Ukiwekeza kwenye Hisa,,Thamani ya hela hulindwa kwa kupanda kwa thamani ya hisa kila mwaka lakini pia kwa gawio la kila mwaka
3. UWEKEZAJI WAKO KAMA DHAMANA
Nyara za uwekezaji wako zinaweza kutumika kama dhamana na kukuwezesha kupata mkopo wa fedha na bidhaa nyingine.Ila kama ni Hisa,wekeza kwenye makampuni makubwa.

4. KUTAWANYA VYANZO VYA MAPATO
inashauriwa kuwa na sehemu angalau tatu za kuwekeza ili kutawanya mali zako.
  • Kuwa na Biashara
  • Kushiriki mifuko ya fedha
  • Kuwekeza kwenye soko la mitaji
80% ya fedha za matajiri huwa zimewekezwa kwenye Hisa...

5. UZALISHAJI KIATO KWA WALE WANAOKOSA MUDA
Kuna wanakosa mda wa kuanzisha biashara kwasababu wanakosa muda na wengine hawana asili ya kufanya biashara...

6. FURSA YA KUKUTANA NA WASIKA

Kuhudhuria mikutano mikubwa ya wanahisa kwa mwaka,utapata fulsa ya kuonana na wadau waz

Note:
  • Hakuku kampuni kama ina Leseni kutoka
  • KUU,MAMALAKA YA USIMAMIZI WA FEDHA NA CMAS
 
Kwa mwenye Uelewa wa Soko la Bidhaa ghafi/Dar es Salaam Mercantile Market....tafadhali tupe elimu.
 
Hapo kwa sarafu ya kielekroniki mkuu Tanzania inafanya kazi wapi
FOREX na CRYPTOCURRENCE kwa Tanzania bado haziwekwa kwenye mfumo,japo kuna watu ni wanashiriki,,,,
ila kwa CRYPTOCURRENCE,Mh.Rais aliagiza benki kuu ianze kujifunza mfumo wake na kuandaa mazingira ya Tanzania kujhusisha nayo.
 
Back
Top Bottom