Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 20,235
- 46,957
Mzuka mwanajamvi!
Mimi licha ya bangi zangu likija swala la kufuata sheria ama kanuni niko makini sana. Popote pale iwe sheria za nchi ama kanuni za kazi
Na hii imenisaidia sana kwenye maisha yangu.
Hapo kabla 2016 kurudi nyuma nilikuwa mjeuri sana lakini nikajifunza kuhusu kuwa law abiding citizen or person.
I
Hizi mbwembwe ninazo nyuma ya keyboard msizchukuliaje serious. Ni kurelease stress tu.
Ninasikitishwa sana na watanzania ambao wengi ni ignorant na dont care. Kutokana na hii tabia wanajikuta matatani na kupoteza muda katika maisha yao kujikuta jela, kudhurika hata kudhalilika.
Jeshi nchini limeweka wazi kabisa nikinyume cha sheria kuvaa sare za jeshi na zinazofanana. Wakikumamata utaona cha moto.
Lakini bado tu unakuta waty wanavaa. Mwisho wake unabakia kudhurika na kudhalilishwa na hata kuswekwa ndani.
Kwanini sasa yote hayo na ni rahisi tu kuepuka. It doesn't cost a thing.
Kuna sheria zingine ama kanuni zenji huko wameweka usile hadharani wakati wa mfungo unakuta mtu anakula tu akipigwa analalamika hizi offenses not crimes mbona zinaepukika tu unajikuta unajiweka kwenye mazingira ya sintomfaham.
Sheria za kusafiri nje ya nchi na kiasi flani cha fedha kinaweka wazi usisafiri nje ya nchi na zaidi ya dollar za kimarekani elfu 10. Lakini mtu anazo zaidi hadi elfu 30-50. Na akishikwa zinakuwa confiscated na kwenda jela na kumiss flight yako.
Simple thing in life kufuata sheria na kanuni inasaidia sana.