Akidu
Member
- Sep 19, 2022
- 47
- 78
Unaweza ukawa n mwanamke flan ivi mwenye mvuto na mpambanaji lakin kila siku unaachika bila sababu za msingi.
Umeshawahi kujiuliza sababu n nn,au ndio unajiona huna bahati.
Mwanaume anaweza kukuacha kwa sababu hizi .
1. HUJIAMINI
Unaweza ukajiona wakaiwaida alafu unakuja kutongozwa na mwanaume flani mzuri unaanza kujishtukia kuwa Mara anataka kunichezea Mara hawez kunipenda mtu Kama mm.
My dear mtu akikufata kwa malengo yoyite yale aliyonayo usiwaze mabaya mwanzo kwani mtu hawez kukupenda kiukweli Kama hamjapeana nafasi za kujuana vizuri.
Mtu akikufata jione ww ni chombo n mzuri ndio maana unafatwa na unahaki kwa hilo,acha kuuwa na wasiwasi uliozidi kuhusu kuachika au kuchezewa maana kisaikolojia ukiwa na wasiwasi utaanza kupoteza mvuto wako wa asili kutokana na woga uliokujaa na sikuzote nasema uoga n ujinga.
Hata kama kweli mwanaume anataka kukuchezea enjoy.
Na usijiwazishe sana bila sababu.
2. UNAWAZA SANA KUHUSU MALENGO YA BAADAE KULIKO KAWAIDA.
upo na mwanaume mnamwezi anakuambia muende vocation Zanzibar unaanza oo sibora hizo hela ufungue biashara .
Biashara my foot
Unakuwa unaboa na kukera,ilimradi pesa utoi ww embu kale raha za maisha,muwekee malengo mwanaume ambae ameshakuoa hao wengine akijisikia kutumia pesa juu yako mwache atumie maana ukijifanya mama Huruma na unaakili Sana za maisha atamtafuta wakula nae maisha.
Hata Kama kweli unaakili za maisha fanya mambo yako pekee yako na akili zako pelekea familia yako.
Usijitie mshauri kwa mtu mliokhtana ukubwan.
Mshauri lakin sio mwanzo wa mahusiano yaan unamiezi mitatu unaanza kumshauri kuhusu kujenga my dear Hicho n kiherehere.
3. UNAKIHEREHERE KILICHOZIDI.
Yaan una wiki mbili unataka matafiki zake wote wakujue,unataka kuongea na mama yake Mara ndugu zake my dear embu tuliza maini.
Mwanaume akikupenda mwwnyewe na kuhisi ww n sahihi kwake hatoficha kila mtu atajua kuwa anakupenda bila kutumia nguvu yoyote,mwache mwanaume awe gentralman kwake,mwache aitangazie dunia yeye mwenyewe kwa kupenda kwake,mwache awe na kiherehere cha kukutambukisha yeye mwenyewe bila ww kusema chochote.
4. KILA WAKATI UNAZUNGUMZIA KUHUSU FURAHA ZA WENGI.
Uko na mtu badala utulize ovaries unaanza yaan nataman mahusiano yetu yawe kama kinaflani wanaonwkana wanafuraha sana,my dear watu wenye furaha hawasemagi,Ila ukiona unashoga yako kutwa anataka kukuonesha jinsi anavyopenndana na mtu wake jua huyo anastress kukuzidi we.
Sikuzote huwa nasema hakna wa kukuzidi chochote dunian na hakuna mwenye mahusiano yenye furaha zaidi yako,so enjoy mahusiano yako na muache mwanaume azungumzie ndoa yeye na sio ww maana ywye ndio anajukumu kubwa kukuzidi kwenye swala la ndoa hivyo muache ajitafakari na afikirie Kama anataka kukuoa ama laa.
5. KUWA KITULIZO CHAKE
Wanaume wengi wanapenda wanawake wanaweza kuwatuliza kiakili,kihisia na hata akiwa na hasira basi akiongea na ww asira zake ziishe(nilishafundisha hili)
Kuna wanawake hawajui namna ya kuzungumza kabisa mnitafute bure kabisa niwape somo la kutosha.
Wanawake tupunguze kelele na lawama zisizonafaida.
6. ANAMTU MWINGINE
Ukishajua anampenda mtu mwingine busara n kumuacha aende na kamwe usijilazimishe kuwa kwwnye maisha na mtu ambae haon thaman yako.
Ww n mrwmbo na siku zote unahaki ya kupendwa na mtu anaekupenda na sio kulazimisha mahusiano,amin hakuna anaekuzidi chochote na siku zote itumie vizuri sehemu unayohisi inamvuto kwako.
Kama unamacho mazuri yatumie macho yako,Kama unatabasamu tamu tumia tabasamu lako na ondoa fikra kwamba wanaume wanapenda wanawake walioumbika my dear kuna watu wanashape kama ssanamu la Michelin na wanawagaragaza kaka zetu,usiruhusu mtu akidharau au akudhalilishe kuhusu baadhi ya kasoro ulizonazo kwani atasababisha usijiamini.
Amin Mung u kakuumba bora kuliko. mwanadamu mwingine yoyote yule.