KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,232
- 75,821
Habari wakuu, Natumai mu heri na buheri wa afya ya mwili sambamba na akili.
Mkihusika na kichwa cha mada hapo juu isemayao..
"Kwanini ulinizaa?"
Unafikiri ni swali sahihi kwa mtoto kumuuliza mzazi hilo swali??
Ikiwa mtoto ama binadamu sote hatupati nafasi ya kuuliza kwanini tunazaliwa au kwanini tupo hapa duniani, je usahihi wa hilo swali kwenda kwa mzazi ni upi..?
Nikitazama kizazi kilichopo hivi sasa kinakuwa kimaarifa na utafakari, hivyo mzazi kuulizwa hili swali na mtoto nafikiri ni kawaida ila linaweza kuibua hisia au fikra tofauti ama kwa mzazi au mtoto!.
katika nyanja za kisheria zinasemaje kuhusu hili swali, je ni kweli mzazi analazimika kutoa majibu juu ya hilo swali..? na vipi mtoto anayo hiyo haki ya kuuliza hilo swali..?
Binafsi kutokana na kuwa hatuna machaguzi toka tulivyofanyika (alietuumba), sidhani kama ni swali sahihi sana kwa mzazi kuulizwa hilo swali!, isipokuwa mzazi analazimika zaidi kuhakikisha mtoto aliemzaa anapatiwa mahitaji yake vile inavyotakiwa!.
hili ni swali ambalo kwa wengine wanaweza kulitazama kama swali la kipuuzi lkn nafikiri kama halijatungiwa sheria basi huenda huko mbeleni likatungiwa!, kwasababu linaweza kuja kuketa tafrani huko baadae ktk kuta za mahakama!.
Hii inanifanya niwaze na kuwazua juu ya nature ya kwamba je, nayo inahili swali "kwanini..?"
sasa hii ni hoja kwenye hoja! kwa maana hii..
swali kwanini isijekuwa ni man idea lakini kwenye nature ikawa halipo hilo swali!, yani yenyewe inajifanyia inavyohitaji bila kuwa na swali la kwanini ama kwa misingi ipi, na aidha ndio maana nasi tunafuata njia hiyohiyo!.
So, mwanajamii forum nini mawazo, maoni na fikra zako juu ya hizi hoja mbili?