Prince Naseem
Member
- Apr 2, 2012
- 15
- 107
Yaani kweli hili ni taifa la majipu.....msomi baada ya kuitumia taaluma yake vyema na kuikomboa jamii.....bali anaitumia kufanyia ngono....na bado kuna watu wanamsifu kwa hilo.....kana kwamba ni jambo la kishujaa....
Yaani vichwa vya wajenzi wa taifa hili vimejaa fikra za ngono....
Na mioyo ya wajenzi hawa imejaa tamaa za ngono.....
Huku miili yao ikitumikishwa kufanikisha ngono......
Sijui litakuwa ni taifa aina gani huko usoni......Mungu baba tia mkono wako kuliokoa taifa hili....
Wakuu,
Mimi nina jamaa yangu tulikuwa tunakaa naye Kimara mwaka 2006 kabla sijahama alienda zake Canada mwaka 2011 kusomea saikolojia akakaa huko miaka 5, na tangu arudi sasa ni miezi miwili.
Mpaka ninavyoandika hapa washkaji kitaa wanatamani hata kumpa pesa nyingi ili aondoke pale kwao Kimara mwisho kwa maana jamaa anang'oa mademu wote wakali bila hela wala nini (mpaka watoto wakali wa kichaga), na watu wakimuuliza anasema yeye ana maneno matamu na mbinu zake za kisaikolojia alizosomea huko darasani kwao chuo cha Canada.
Sasa nimebaki najiuliza inakuwa vipi watu waliosomea saikolojia wanakuwa watata kiasi hiki aisee, utasema jamaa ana kizizi.
Note: Ukiona demu wa kichagga anang'oleka kizembe kwa mameno matamu bila kumwaga mpunga wa kutosha, kaa mbali na huyu jamaa!
hahahahaaaaaaaa.......kumbe hata na wewe umemshtukia kakaMkuu unaamini porojo za kitoto kama hizi? Between the lines mleta uzi huu anasoma/amesoma au ana mpango wa kusomea hiyo taalum akidhani kwamba itamfanya aonekane mjanja mjini huku akisahau kwamba kusomea uchumi sio tiketi ya kuwa tajiri.
mkuu, kwani kuna kosa gani kuwa katika mahusiano ya mapenzi?
Wakuu,
Mimi nina jamaa yangu tulikuwa tunakaa naye Kimara mwaka 2006 kabla sijahama alienda zake Canada mwaka 2011 kusomea saikolojia akakaa huko miaka 5, na tangu arudi sasa ni miezi miwili.
Mpaka ninavyoandika hapa washkaji kitaa wanatamani hata kumpa pesa nyingi ili aondoke pale kwao Kimara mwisho kwa maana jamaa anang'oa mademu wote wakali bila hela wala nini (mpaka watoto wakali wa kichaga), na watu wakimuuliza anasema yeye ana maneno matamu na mbinu zake za kisaikolojia alizosomea huko darasani kwao chuo cha Canada.
Sasa nimebaki najiuliza inakuwa vipi watu waliosomea saikolojia wanakuwa watata kiasi hiki aisee, utasema jamaa ana kizizi.
Note: Ukiona demu wa kichagga anang'oleka kizembe kwa mameno matamu bila kumwaga mpunga wa kutosha, kaa mbali na huyu jamaa!
Hiv unafikir mwanamke wa xx wanaangalia nn si wanaangalia pes zaid no atherWakuu,