Kwanini Tundu Lissu anajichanganya changanya katika mazungumzo?

deblabant

JF-Expert Member
Oct 7, 2022
2,228
3,433
Anasema eti CHADEMA ni sahihi kukosea kwa sababu siyo Mungu bali binadamu. Sasa mtu atajiuliza kwamba kwanini wanataka CCM isikosee?

Kwani CCM kinaongozwa na Mungu? CHADEMA muwe mnaacha mihemko au Lissu asiwe anapeqa maiki maana hajui kuzungumza i.e ni zuzu
 
Anasema eti chadema ni sahihi kukosea kwa sababu siyo Mungu bali cha binadamu. Sasa mtu atajiuliza kwamba kwa nini wanataka ccm isikosee? Kwani ccm kinaongozwa na Mungu? Chadema muwe mnaacha mihemko au Lisu asiwe anapeqa maiki mana hajui kuzungumza i.e ni zuzu
anasema eti ccm inakosea sana kupitiliza
 
Kwa hiyo kujikwaa kwa CHADEMA ndiyo iwe ponapona kwa makosa ya CCM?Yani ujitetee kujinyea kwa kujamba majirani zako?🤔
 
Anasema eti chadema ni sahihi kukosea kwa sababu siyo Mungu bali cha binadamu. Sasa mtu atajiuliza kwamba kwa nini wanataka ccm isikosee? Kwani ccm kinaongozwa na Mungu? Chadema muwe mnaacha mihemko au Lisu asiwe anapeqa maiki mana hajui kuzungumza i.e ni zuzu
Kama hata hili ni gumu kwako kulielewa basi huko ccm mna Kazi kubwa sana
 
Anasema eti chadema ni sahihi kukosea kwa sababu siyo Mungu bali cha binadamu. Sasa mtu atajiuliza kwamba kwa nini wanataka ccm isikosee? Kwani ccm kinaongozwa na Mungu? Chadema muwe mnaacha mihemko au Lisu asiwe anapeqa maiki mana hajui kuzungumza i.e ni zuzu
hapo hapo mabavicha utayasikia kaupigwa mwingi,ogopa sana mtu ambae anajiona yuko sahihi kila anachokizungua,
 
Anasema eti chadema ni sahihi kukosea kwa sababu siyo Mungu bali cha binadamu. Sasa mtu atajiuliza kwamba kwa nini wanataka ccm isikosee? Kwani ccm kinaongozwa na Mungu? Chadema muwe mnaacha mihemko au Lisu asiwe anapeqa maiki mana hajui kuzungumza i.e ni zuzu
It suggests that it is a matter of time
 
Anasema eti chadema ni sahihi kukosea kwa sababu siyo Mungu bali cha binadamu. Sasa mtu atajiuliza kwamba kwa nini wanataka ccm isikosee? Kwani ccm kinaongozwa na Mungu? Chadema muwe mnaacha mihemko au Lisu asiwe anapeqa maiki mana hajui kuzungumza i.e ni zuzu
Ndio maana tunataka chaguzi za haki, ili ukikosea ukae pembeni urekebishe ulipokosea, ukijisahihisha unaweza kupewa tena nafasi. Sasa ccm imeshakosea, lakini haiko tayari kukaa pembeni inalazimisha tu. Umeelewa sasa?
 
Sasa kama watu au raia wanakichagua kwa kishindo ulitaka wakatae
 
Ndio maana tunataka chaguzi za haki, ili ukikosea ukae pembeni urekebishe ulipokosea, ukijisahihisha unaweza kupewa tena nafasi. Sasa ccm imeshakosea, lakini haiko tayari kukaa pembeni inalazimisha tu. Umeelewa sasa?
chadema wana sera ipi yenye ushawishi kuwafanya wananchi wakipe ushindi?
 
Back
Top Bottom