Kwanini tatizo la Watu kutekwa lipo nchi za Kidemokrasia Tanzania na Kenya ila nchi za wanajeshi Uganda, Burundi na Rwanda halipo?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
94,035
164,306
Citizen tv wameonyesha Maandamano nchini Kenya Watu wakilia na Serikali wapendwa wao wamepotea

Hapa Tanzania Mbowe na Othman Masoud wamelia.watu kutekwa na kupotea

Lakini Nchi zinazoongozwa Kidemokrasia lakini na Wanajeshi tatizo la Watu kutekwa na kupotea halipo

Why? 🐼
 
Why?
Majambazi na majangili watekaji wako duniani kote....

Labda huko vyombo vya habari haviripoti.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Citizen tv wameonyesha Maandamano nchini Kenya Watu wakilia na Serikali wapendwa wao wamepotea

Hapa Tanzania Mbowe na Othman Masoud wamelia.watu kutekwa na kupotea

Lakini Nchi zinazoongozwa Kidemokrasia lakini na Wanajeshi tatizo la Watu kutekwa na kupotea halipo

Why? 🐼
Rubbish!
 
Burundi na Rwanda sio tu unatekwa, bali unapotea kabisa. Na akitokea mtu akaanza kufuatilia sababu za ndugu yao kupotea, basi na yeye ghafla anapotea, ndomaana huko hauwezi kusikia watu wanalalamika lalamika hovyo kuhusu kupotea kwa ndugu zao. Kila mtu anakaa na lake rohoni tu.

Kagame ameshasema kuwa hauwezi kufanya usaliti wa nchi popote pale hapa duniania na ukabaki kuendelea kuwa salama. Hiyo kauli imebeba maana kubwa na results tumeshaziona kwa baadhi ya watu.

Lile tukio la Lisu ingekuwa ni Rwanda saa hizi tungekuwa tumeshamsahau Lisu na kaburi lishajaa nyasi kitambo.
 
Lisu, Sugu na Rostam ni raia wa USA 😂😂😂
 
Citizen tv wameonyesha Maandamano nchini Kenya Watu wakilia na Serikali wapendwa wao wamepotea

Hapa Tanzania Mbowe na Othman Masoud wamelia.watu kutekwa na kupotea

Lakini Nchi zinazoongozwa Kidemokrasia lakini na Wanajeshi tatizo la Watu kutekwa na kupotea halipo

Why? 🐼
Hapa kwetu tuna demokrasia?
 
Back
Top Bottom