Kwanini species nyingi za wanawake ni wafupi?

Quan Lup

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
679
926
Kwema wakuu

Naombeni msinishambulie najiuliza wanawake mbona wengi wao ni wafupi sana.. yaani unakuta anakufika kifuani au tumboni kabisa hii imekaaje ... kuna factors zozote za kisayansi?
Misinishambulie please
 
Ushauri wangu;

Oa mke mrefu ili aje akuzalie watoto warefu pia

Usije nawe kulaumiwa na wakwe zako hapo baadaye

NB;
Watanzania wengi zaidi ya asilimia 70 ni wafupi, ni rahisi kuendelea kuzaa watoto wafupi
 
Kwema wakuu

Naombeni msinishambulie najiuliza wanawake mbona wengi wao ni wafupi sana.. yaani unakuta anakufika kifuani au tumboni kabisa hii imekaaje ... kuna factors zozote za kisayansi?
Misinishambulie please
Mwanaume mzima unapata wapi muda wakuwaza haya??

Kwani hata wangekufika kichwani ungewafanyia nin??
 
Kwema wakuu

Naombeni msinishambulie najiuliza wanawake mbona wengi wao ni wafupi sana.. yaani unakuta anakufika kifuani au tumboni kabisa hii imekaaje ... kuna factors zozote za kisayansi?
Misinishambulie please
Sio wafupi bali ni warefu kwenda chini.. Zamani kulikuwa na mbegu ya mahindi inaitwa katumani ilikuwa inazaa sana.. Ila tatizo kimo
 
Kuna sababu tatu muhimu
1.Kiimani... Mwanamke alishawishika akavunja Sheria
2. Mtazamo wa kawaida ikitokea ke anakuwa mrefu zaidi kuliko me ni rahisi kukosea na kujitwalia madaraka..
3. Kutokana na nature ya kiubinadamu Mwanamke anakuwa tofauti na me kulingana na shughuli
 
Kwema wakuu

Naombeni msinishambulie najiuliza wanawake mbona wengi wao ni wafupi sana.. yaani unakuta anakufika kifuani au tumboni kabisa hii imekaaje ... kuna factors zozote za kisayansi?
Misinishambulie please
cc32e090d1b656efedc11933dd5582d9.jpg

Njoo huku Sudan ujionee milingoti
 
Back
Top Bottom