Kwanini sio wewe? Kwa nini sio sasa?

realMamy

JF-Expert Member
Apr 28, 2024
1,649
3,398
Ukikaa ukatafakari utaona watu mlio sawa nao umri wamefanikiwa na hata uliowazidi kiumri wamefanikiwa kimaisha kuliko hata wewe.

Hapo sasa homa ya mafanikuo inapanda na kuanza kufanya vitu visivyofaa.

Unadhani ni vitu gani vilikukwamisha kutimiza ndoto yako?

Lakini haujachelewa anza sasa.
 
Back
Top Bottom