Kwanini Serikali kupitia Wizara ya Nje, wasishirikiane na Wizara ya Nje ya Congo, kumkamata Tapeli alojiita Nabii kiboko ya wachawi?

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
24,694
74,462
Ni suala la kawaida Kwa mataifa mengi , na huo ndio Ushirikiano , Raia wa Nchi A anafanya kosa, anakimbilia Nchi B, basi negotiations zinafanyika, Huko huko Nchi B anakamatwa na kurudishwa Nchi A.

Huyu Tapeli Licha ya kuumiza watanzania ,.huko Mitandaoni anaonekana kujitapatapa sana , jambo linalothibutisha makusudi, kiburi ,jeuri zake.

Kama Mnashindwa, kwanini Majasusi wasiingie CONGO na kuhakikisha wanamuua Mara Moja au kumrejesha Nchini ( Huu Ujinga kwann wanaufanyia Tanzania?? Hivi kweli Paul Kagame umletee Ushenzi wa namna hii Kwa Watusi wake, alafu akuache??

Kama nahili Mnashindwa, inamaana Tanzania ni shamba la bibi yaan hamna cha jasusi Wala nn 🤣 ni kuwindana wenyewe Kwa wenyewe , na kama ni Ivo basi Hongera Paul Kagame!!.

Mkishindwa kabisaa kabisaaa kabisaa, yaan kweli kuanzia Wizara mpaka Ujasusinieshindwa, Basi hakikisheni Mnapitia Upya Sheria za kusajili haya makanisa uchwara ya kishenzi ambayo Moja baada ya jingine kazi kubwa ni kuwaumiza watanzania !!

Serikali kazi kubwa ni kulinda na kuhakikisha Usalama wa Raia,, Nchi ipo ipo tuuu , Mara Vanila ,Mara Kuku, Mara vile, sahizi manabii feki, yaan Serikali haijifunzi tu??.ipoipo !!.

Inaweza kua ni Uthibitisho tosha kua RUSHWA Kwa Top officials ni kubwa sana kiasi kwamba Mfumo umekua Corrupted , ikimaanisha kua ,haya matapeli Kwa Kila aina zao, kwanza uhakikisha yanatoka Rushwaaa, ndipo yanapewa kibali.!!.

Ikishindikama basi tumuombe Kagame atusaidie !!.
 
Achana na huyo huyo mwehu wa Instagram, hana tishio wala hasara ya maana kwa Taifa ni kibaka tuu, kuna siku atajibabatiza tena atarudi tena, tuna watekaji wanaoua na kutishia maisha ya raia na mafisadi yanayokomba mabilioni kila siku, hao ndio serikali makini ishughulike nao lakini sio hii ya CCM ambao wao ndio wahusika
 
Ni suala la kawaida Kwa mataifa mengi , na huo ndio Ushirikiano , Raia wa Nchi A anafanya kosa, anakimbilia Nchi B, basi negotiations zinafanyika, Huko huko Nchi B anakamatwa na kurudishwa Nchi A.

Huyu Tapeli Licha ya kuumiza watanzania ,.huko Mitandaoni anaonekana kujitapatapa sana , jambo linalothibutisha makusudi, kiburi ,jeuri zake.

Kama Mnashindwa, kwanini Majasusi wasiingie CONGO na kuhakikisha wanamuua Mara Moja au kumrejesha Nchini ( Huu Ujinga kwann wanaufanyia Tanzania?? Hivi kweli Paul Kagame umletee Ushindi wa namna hii Kwa Watusi wake, alafu akuache??

Wasomi uchwara mumepigwa na kitu kizito na bado
Ety ss tumesoma mtu alosoma haswaa aje kuibiwa kirahisi vile

Akili kumkichwa
Ukweli unauma
 
Achana na huyo huyo mwehu wa Instagram, hana tishio wala hasara ya maana kwa Taifa ni kibaka tuu, kuna siku atajibabatiza tena atarudi tena, tuna watekaji wanaoua na kutishia maisha ya raia na mafisadi yanayokomba mabilioni kila siku, hao ndio serikali makini ishughulike nao lakini sio hii ya CCM ambao wao ndio wahusika
Kwa iyo kakimbia na marabu fighter.mwarabu hana akili mata*****o yake nimemuona kuna video yupo anaongea use##### ndomana diamond alimfukuza
 
Ni suala la kawaida Kwa mataifa mengi , na huo ndio Ushirikiano , Raia wa Nchi A anafanya kosa, anakimbilia Nchi B, basi negotiations zinafanyika, Huko huko Nchi B anakamatwa na kurudishwa Nchi A.

Huyu Tapeli Licha ya kuumiza watanzania ,.huko Mitandaoni anaonekana kujitapatapa sana , jambo linalothibutisha makusudi, kiburi ,jeuri zake.

Kama Mnashindwa, kwanini Majasusi wasiingie CONGO na kuhakikisha wanamuua Mara Moja au kumrejesha Nchini ( Huu Ujinga kwann wanaufanyia Tanzania?? Hivi kweli Paul Kagame umletee Ushindi wa namna hii Kwa Watusi wake, alafu akuache??

Kama nahili Mnashindwa, inamaana Tanzania ni shamba la bibi yaan hamna cha jasusi Wala nn 🤣 ni kuwindana wenyewe Kwa wenyewe , na kama ni Ivo basi Hongera Paul Kagame!!.

Mkishindwa kabisaa kabisaaa kabisaa, yaan kweli kuanzia Wizara mpaka Ujasusinieshindwa, Basi hakikisheni Mnapitia Upya Sheria za kusajili haya makanisa uchwara ya kishenzi ambayo Moja baada ya jingine kazi kubwa ni kuwaumiza watanzania !!

Serikali kazi kubwa ni kulinda na kuhakikisha Usalama wa Raia,, Nchi ipo ipo tuuu , Mara Vanila ,Mara Kuku, Mara vile, sahizi manabii feki, yaan Serikali haijifunzi tu??.ipoipo !!.

Inaweza kua ni Uthibitisho tosha kua RUSHWA Kwa Top officials ni kubwa sana kiasi kwamba Mfumo umekua Corrupted , ikimaanisha kua ,haya matapeli Kwa Kila aina zao, kwanza uhakikisha yanatoka Rushwaaa, ndipo yanapewa kibali.!!.

Ikishindikama basi tumuombe Kagame atusaidie !!.
Wakamatwe waliompa vibali kwanza
 
Back
Top Bottom