Habari wadau
Kama wiki hizi tatu nilkuwa nafatilia biashara ambazo ni profitable business outside of our country, nimegundua biashara ya mkaa ni biashara ambayo inweza kuleta billions of money kwenye nchi yetu na nchi yetu namaeneo mengi yanayoweza kuzalisha mkaa lakini hairuhisu kusafirisha mkaa nje ya nchi swali langu ni kwa nini serikali hairihusu kusafirisha mkaa wakati
1: Ukataji wa mkaa si kwa ajili ya miti yote ni baadhi tu ya miti hivyo mapori bado yanabaki hata mkaa ukikatwa.