Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,789
Adui ujinga ameshatushinda.Elimu Elimu Elimu...
Zanzibar ni nchi na ni mbia sawa na Tanganyika kwenye huu muuungano wetu. Hivyo yule ni Rais wa nchi ya Zanzibar na siyo mkuu wa mkoa kama unavyoelekea kujiaminisha.Hapa najaribu kulinganisha kati ya mkuu wa mkoa wa Dar (yeyote anayekalia kiti hicho) na Rais wa Zanzibar...
Je kwa nini protocol za kichama na kiserikali zinampa heshima ya juu zaidi Raisi wa watu milioni moja badala ya mkuu wa mkoa mwenye watu milioni nne?
Kikatiba na Kidemokrasia hili liko sawa?
Tujadili...
Kwani wewe hujui kuwa Zanzibar ni nchi? No matter ina watu wangapi...Hapa najaribu kulinganisha kati ya mkuu wa mkoa wa Dar (yeyote anayekalia kiti hicho) na Rais wa Zanzibar...
Je kwa nini protocol za kichama na kiserikali zinampa heshima ya juu zaidi Raisi wa watu milioni moja badala ya mkuu wa mkoa mwenye watu milioni nne?
Kikatiba na Kidemokrasia hili liko sawa?
Tujadili...
Nina hakika 100% ww hujafika form 4, na kama umefika basi ndio wale waleHapa najaribu kulinganisha kati ya mkuu wa mkoa wa Dar (yeyote anayekalia kiti hicho) na Rais wa Zanzibar...
Je kwa nini protocol za kichama na kiserikali zinampa heshima ya juu zaidi Raisi wa watu milioni moja badala ya mkuu wa mkoa mwenye watu milioni nne?
Kikatiba na Kidemokrasia hili liko sawa?
Tujadili...
Kila mtu ni mjinga lakini huu ni ujinga uliopitiliza sijui tuuitejeHapa najaribu kulinganisha kati ya mkuu wa mkoa wa Dar (yeyote anayekalia kiti hicho) na Rais wa Zanzibar...