Kwanini Pro-CCM hawana hofu ya kupost taarifa za uongo na uzushi?

Salary Slip

Platinum Member
Apr 3, 2012
48,957
151,029
Je,ni kwasababu hakuna hata mmoja wao aliewahi kupata misukosuko?

Je,ni kwasababu wanaowazushia hawako madarakani?

Je,ni kwasababu viongozi/wanachama wa vyama vya upinzani hawataki kuwachukulia hatua?

Hiki kiburi wanakipata wapi?
 
Kuna jambo nyuma ya Pazia lazima tulijue hujaona wale vijana 46 wa mtandao
 
Je,ni kwasababu hakuna hata mmoja wao aliewahi kupata misukosuko?

Je,ni kwasababu wanaowazushia hawako madarakani?

Je,ni kwasababu viongozi/wanachama wa vyama vya upinzani hawataki kuwachukulia hatua?

Hiki kiburi wanakipata wapi?
Habari muandike Bavicha wenyewe halafu msingizie CCM?
 
Haya yote yatakomeshwa tukiamua kwa dhati na bila uoga kupambana na uzandiki na unafiki wao hapa hapa jukwaani , dawa ya moto ni moto .
 
kweli wameshika dola na hata hao wanochukua hatua hawapo fair kwenye hilo,kila siku akina lowasa,lissu,mboe wanatukana kwa kuitwa machizi,lkn hatujaona mtu akikamatwa
Embu tuweke sawa mkuu huko kwenu vp,wengine kuvaa pampas wengine wana vyet vya ile klinik maaruf dodoma eti na Dj Ziroo ni kweli au wananzengo wanazusha tu
 
Wameshika dola vyombo vyote vya usalama viko mikononi mwao, nani wa kuwachukulia hatua za kisheria? Kama walipita na mabango ya ubaguzi kule zanzibara na viongozi wakuu wa chama na serikali wakapiga makofi na vigelegele, kwa nini tuendelee kuwashangaa wakati tumejua rangi yao? Mungu ndie kimbilio la wanyonge na hakuna dhambi mbaya kama KIBURI, hakika hii Mungu hasamehi., atawalipa kwa matendo yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…