Kweli watanzania hatuelewi jinsi ya kuwakuza waandishi wetu, kama wenzetu. fikiria akina Ngungi wa thiong'o, chinua achebe nkUkweli ni kwamba "NGOSWE" ambaye ni "Mtu wa Kufikirika" NI MAARUFU KULIKO "Edwin Semzaba" aliyetunga habari za huyo Ngoswe...
Bendi nyingi zimeimba "...mambo ya Ngoswe muachie Ngoswe mwenyewe..." na umekua ni msemo maarufu.
Jina "EDWIN SEMZABA" LINATAJWA sana baada ya kufariki.
kwanini waandishi wetu hawa hawavumi na kupewa sifa stahiki kama kazi zao?
R.I.P Edwin Semzaba
ndivyo ilivyo duniani kote,character anavuma zaid ya mwandishi mfano okonkwo alivyovuma kwenye kitabu cha things fall apartKweli watanzania hatuelewi jinsi ya kuwakuza waandishi wetu, kama wenzetu. fikiria akina Ngungi wa thiong'o, chinua achebe nk
Pamba kama za Ngoswe?Waandishi ndiyo wenyewe hawajui kupiga pamba
January yupi??
2016January yupi??
Mfano mwingine maarufu ni wa James Bond (007) na mwandishi Ian Flemingndivyo ilivyo duniani kote,character anavuma zaid ya mwandishi mfano okonkwo alivyovuma kwenye kitabu cha things fall apart
Ah ah ah uhii ngoja nimalizie mie. January December huyoakuu sisemi
Kama James Bond alivyo maarufu kuliko Ian Fleming.ndivyo ilivyo duniani kote,character anavuma zaid ya mwandishi mfano okonkwo alivyovuma kwenye kitabu cha things fall apart