peterngenzi Member Jun 9, 2016 5 0 Jun 10, 2016 #1 Siku zote huwa natafakari sana kwanini bara letu Afrika, hususani nchi zilizo chini ya mamlaka ya watu weusi ni masikini? Naomba mchango wenu wanajamvi.
Siku zote huwa natafakari sana kwanini bara letu Afrika, hususani nchi zilizo chini ya mamlaka ya watu weusi ni masikini? Naomba mchango wenu wanajamvi.