Yahya Jammeh ni Zaidi ya Boko HaramNimesikia kuna mpango haramu wa nchi za Kiafrika kutaka kuivamia kivita nchi ya Gambia kwa lengo la kutaka kumtoa kwa nguvu Raisi wa nchi hiyo na kumsimika mpinzani!
Sasa swali langu kipi kina umuhimu zaidi Boko haramu Nigeria ambao wameua na wanaendelea kuuwa raia wasio na hatia au Raisi wa Gambia ambaye hajamuua wala kumtishia yoyote yule?
Kwa nini nchi za Kiafrika zisivamie Nigeria kwanza?
Mkuu, una uhusiano wowote na ndugu Jammeh..!!? Maana naona unamtetea saaana
Yahya Jammeh ni Zaidi ya Boko Haram
Halafu Ulivyo Mpuuzi unataka Nigeria ivamiwe Kisa Boko Haram.
Mbona husemi Somalia ivamie Kisa Alshabaab au Kwetu kisa Chama chenu cha Majizi
Japo siafiki mpango wa ECOWAS kuvamia Gambia lakini ndugu yangu umeongea pumba
Jeshi la Nigeria lina vifaa,na jeshi na wanaendeleza mapigano na Boko haram ..hakuna sehemu wamesema wameshindwa na saizi wameshawatimua na sehemu kubwa ya pori yao wanayamiliki
Halafu kingine Nigeria hawapeleki jeshi bali Senegal ndio wapo stand by kuvamia..Buhari yeye ni kiongozi tu anasimamia mpango
Yaani ukisikia akili Maandazi ndio hii.
Kwa hiyo Buhari ndio Boko haram?
Silly kada
Unajua madhara yake Kung'ang'ania Madaraka ilhal kashindwa ?Kwa nini Raisi wa Gambia ni zaidi ya Boko Haramu? Unatumia kigezo gani cha Kiubinadamu au cha kisiasa?
Unajua madhara yake Kung'ang'ania Madaraka ilhal kashindwa ?
Wewe ni Mpumbavu sanaUmeelewa kwanza kinchoendelea nchini Gambia au umeweka tu emotions mbele? Raisi Gambia amekata rufaa kwenye Mahakama Kuu ya nchi hiyo kama vile Katiba ya nchi hiyo inavyomtaka Mgombea kufanya endapo hajaridhika na jinsi uchaguzi ulivyofanyaika, Mahakama bado haijatoa hukumu yao ambayo ndiyo inapaswa kuwa ya mwisho, sasa ni kwa nini Afrika Magharibi wanataka kuivamia nchi ya Gambia wakati Mahakama bado haijaamua? Na kama wana haraka hivyo ni kwa nini wasivamie Nigeria kwanza ambako Boko Haramu bado wanaua na wanaendelea kuuwa Watu?
Mkuu humu watu wanaangalia mambo kwa mitizamo ya kisiasa tu.Kwa nini Raisi wa Gambia ni zaidi ya Boko Haramu? Unatumia kigezo gani cha Kiubinadamu au cha kisiasa?
Jua kuwa wewe ni Punguani kama ulikuwa hujuiKwa nini? Elezea huo upumbavu wangu kama ukipenda kulingana na nilichoandika!