Kwanini nakushauri ununue mashine ya umeme ya kufyatua matofali

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
21,326
50,562
1.unaweza kuikodisha anytime

2.una weza kuzalisha tofali mwenyewe weekend ukapiga kazi mwenyewe au assume kila usiku wewe ukawa ukazalisha tofali 200 hata kama ni kwa msaada wa kibarua means Kwa week 1 una tofali 1400 ambazo ni zaidi ya million 1 na laki 4 ukitoa mchanga, maji na cement hapo itabakia hata laki 4

3.mchanga Kwa sasa upo wa kutosha ni wewe kuzoa tu mtaani wanakuuzia bei rahisi unaujaza kiangaz unapiga kazi.

4.tofali haziozi,zinahitajika sana kwenye ujenzi na marekebisho hivyo soko mtaani ni uhakika na unaweza kuzijengea hata wewe mwenyewe

5.ni mashine isiyoharibika Kwa urahisi na hata service yake haisumbui kichwa.

6.ni biashara isiyohitaji mavibali sijui makodi korofi.
 
nimegundua wengi wanatengeneza tofauli za low quality sana
ukiweza kuongeza ubora kidogo tu unapata wateja
 
Back
Top Bottom