Kwanini mwanaume anaemuoa mdada golddigger, anaheshimika kwenye jamii, ilhali mwanaume anaenunua dada poa wanaojiuza barabarani, jamii inamdharau?

Balqior

JF-Expert Member
Jun 8, 2021
2,357
7,916
Habarini,
Kuna social construct nimeiona kwenye jamii

Mimi binafsi na great thinkers wengine tunaamini kuwa hamna tofauti kati ya golddigger (mdada anaekupendea hela) na mdada anaejiuza barabarani, sababu wote wawili wana-sex na wewe sababu unawapa hela, usingekua na hela wasingekupa mbususu..wote wawili golddigger na dada poa wanaojiuza barabarani kinachowafananisha ni kuwa wanapo sex na wewe,hawana hisia za kimapenzi na wewe, wapo kibiashara zaidi..

Kwenye jamii hata mwanaume anaeoa baa medi ingawa anadharaulika, ila hata huyo anaeoa baa medi anaheshimiwa kidogo kuliko mwanaume anaenunua malaya barabarani.

Kitendo cha mwanaume kununua wadada wanaojiuza barabarani kinaonekana na jamii kuwa ni kitendo cha aibu sana, ila mdada ku-date/kuolewa na mwanaume (especially mwanaume Mzee) sababu ya pesa/mwanaume mzee kuoa binti mdogo baada ya kumlaghai kwa kutumia pesa, sio kitendo cha aibu wakati ni yale yale.

Mwanaume anaenunua dada poa akijitangaza publicly kuwa ananunuaga dada poa, ata face kejeli na dharau toka kwa wanawake na hata wanaume wenzake, hata kama miongoni mwa hao wanaume ni wateja wa maafisa utamu pia..

Interesting
 
Ukioa mdangaji na akatulia tuli, unapata heshima nyingi sababu, kuna waduwanzi waliopita nae wakamshindwa hapa ndio unapata pointi, ila asipotulia we, unaonekana pimbi wa mwiiisho kabisa.
 
Mwanaume anaenunua dada poa akijitangaza publicly kuwa ananunuaga dada poa, ata face kejeli na dharau toka kwa wanawake na hata wanaume wenzake, hata kama miongoni mwa hao wanaume ni wateja wa maafisa utamu pia..
Chaiii
 
Nani alikudharau na wewe ?

Wanaume wote wananunua maana mademu wa siku hizi wanaweza wasisimame barabarani kunadi puchi lakini wanauza indirectly .

Kama hao wanaocheka na kuku dharau wanatomba bure basi sawa
 
mkuu
KUOA na KUZINI viti viwili tofauti

huyo golddigger aliyeolewa akienda kuzini wakati yupo kwenye NDOA atasemwa sana na jamii nzima

na huyo KAHABA akiamua kuacha UKAHABA na kuolewa kutuliaa atapongenzwa na jamii nzima
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom