Kwanini mvua ikiwa inanyesha ving'amuzi hukata mawasiliano

The Bodmas

JF-Expert Member
Nov 21, 2016
405
403
Habari wakuu
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza ..hivi huwa inasababishwa na nn ukiwa unangalia TV wakati mvua inanyesha signal hukata kabisa? Ndiyo kusema ufumbunzi wake haujawahi kupatkana? Na je hata inchi za wezetu hii hali hutokea hasa kwenye nchi zinazopata mvua muda mrefu kuliko sisi.
 
Kwa taaluma yangu ya Telecom...issue apo ni Band. Unajua satellite nazo zina Band kama Band za Radio..kwa Radio una FM...MW etc na kwa Satellite una C-bank, KU-Band etc. Sasa kwa swali lako..lazima Dish lako ni Ku-Band..i mean kale ka kichwa (LNB) ni kadogo sasa aka kana kuwa affected sana na upinde wa mvua..soln ni kujitahd fund akufungie dish ktk possition nzuri ili uwe na strong signal..LNB means Low noise block...kwa wale wanao yumia c-bamd ili tatizo aliwakuti..LNB zao zinakuwa kubwa na dish size kuanzia 6ft.
 
  1. Hapo kuna kitu kinaitwa rain fade, ina absorb hizo signal na reflection ya signal kwenye maji ni poor. Rudi kwenye vitabu vyako usome vizuri. Na KU-Band tuna strong signal tofauti na C-Band.
 
  1. Hapo kuna kitu kinaitwa rain fade, ina absorb hizo signal na reflection ya signal kwenye maji ni poor. Rudi kwenye vitabu vyako usome vizuri. Na KU-Band tuna strong signal tofauti na C-Band.
Solutions please
 
Mawazo yenu wote mazuri ila sasa solution ya hilo tatizo ni nn maana natumia dstv +ZUKU na yote ugonjwa ni huo huo tu
 
Tatizo hilo haliwezi kuisha kutokana na mrushaji ameyafifisha nguvu kutokana na kukusanya channeli mbali mbali kutoka vyanzo tofauti ambayo ni ku band. c band ndio masafa yennye nguvu kubwa kulio yote ktk urushaji matangazo hivyo hua hayatetereki.
 
Hata uweke kopo juu UC ya lnb halisaidii chochote ila inasidia tu pini ya kuungia kable kwenye lnb isiingiliwe na maji na kusababisha kutu, ila mvua inaponyesha inaathiri signal hasa ku-band(vichwa vidogo kama azam, zuku) hlo tatizo halijapatiwa ufumbuzi
 
huko angani kuna kitu kinaitwa ionized sphere ambayo mawimbi ya radio n.k yana gonga hapo na kuja chini ni somo refu kidogo lakini jaribu ku google :ionized sphere
kuna kitu kinaitwa ionosphere layer (ionizedsphere) hapo radio waves ndipo zinakuwa reflected kuja kwenye radio yako ama kitu kinacho tumia radio waves usiku Radio huweza sikika vizuri kwasababu hiyo layer huwa inashuka chini (warm air rises up) kunapotokea mvua hiyo layer ina panda juu zaaidi Kihalisia hivi ving'amuzi transimission zao ziko very poor hata bila mvua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…