Holy Trinity
Member
- Oct 10, 2023
- 21
- 29
Mfano unakuta wakati nazaliwa , wazazi Kwa uono wao wakaamua kunipa jina "MATATIZO" MATESO nk , au nilikua mkristu nikasilimu nikataka kwenda na jina la dini husika, au nilikua muislam nikabatizwa nikataka kwenda na jina la biblia
Swali langu ni nini shida inayofanya kusiwe na system ya kubadili hayo majina?
Mfano mahakama wameridhia ni Mimi MATATIZO mwenye cheti namba x, nataka kuitwa Baraka. Kwanini NECTA na wengineo hawawezi kubadili jina Hilo kwenye cheti? Maana namba ni ile ile, au NIDA nk.
Kwanini watu wanabadili majina lakini bado wanaishi kwenye kivuli cha majina ya mwanzo?