Uhumbwe Member Apr 22, 2024 24 37 Apr 26, 2024 #1 Kwanini Mtandao Umefanya Mabadiliko Ya Vifurushi KimyaKimya? Mfano Sms Kwa Mwezi Ilikuwa Tshs 1000 Kwa Sms 10000 Ila Sasa Sms 10000 Kwa Tshs 1500
Kwanini Mtandao Umefanya Mabadiliko Ya Vifurushi KimyaKimya? Mfano Sms Kwa Mwezi Ilikuwa Tshs 1000 Kwa Sms 10000 Ila Sasa Sms 10000 Kwa Tshs 1500
Feberia JF-Expert Member Aug 5, 2013 542 220 Apr 27, 2024 #6 Maadamu sio ndoa unaachana nao tu wakikimbiwa ndio watajifunza
Sanze M JF-Expert Member Jul 20, 2021 4,132 8,538 Apr 27, 2024 #7 Mbona kifurushi cha halichachi kimeongezwa kutoka dakika 30 hadi 60 usemi!
Uhumbwe Member Apr 22, 2024 24 37 Apr 28, 2024 Thread starter #9 THE BEEKEEPER said: Unatumia tigo Click to expand... Zantel Boss
Uhumbwe Member Apr 22, 2024 24 37 Apr 28, 2024 Thread starter #10 Ncha Kali said: Kwamba tigo imepanda bei? Click to expand... Sms 10000 kwa 1500/= Badala Ya 1000/=
Uhumbwe Member Apr 22, 2024 24 37 Apr 30, 2024 Thread starter #11 THE BEEKEEPER said: Unatumia tigo Click to expand... Ndio natumia Zantel
Vien JF-Expert Member Mar 6, 2020 6,175 9,256 May 1, 2024 #12 Uhumbwe said: Ndio natumia Zantel Click to expand... Zantel sahv c ndo tigo au kuna utofauti