Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 26,462
- 19,251
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeshangaa sana kuona Mkoa wa Rukwa zaidi ya 30% ya wananchi hawajajitokeza katika kujiandikisha katika daftari la mkazi kwa ajili ya kupiga kura ya kuchagua viongozi wao mwezi ujao. Hii ni kwa kuwa ni 64.58% pekee ndio waliojitokeza kujiandikisha.
Hivyo kuufanya mkoa huu kushika nafasi ya Mwisho kabisa yaani mkiani kabisa. Sijaelewa nini tatizo ya Mkoa huu kufanya vibaya kwa zoezi hili muhimu kabisa na lenye kumpa nafasi mwananchi kupaza Sauti yake katika sanduku la kura.
Kazi iendelee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Soma Pia: Waziri Mchengerwa: Jumla ya wapiga kura milioni 31, 282,331 wamejiandikisha kupiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024
Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.