Mimi nilipokuwa mdogo ilipotokea pasipokusudi nimemuumiza mwenzangu nilikiwa naumia sana namwomba radhi na ilipotakiwa msaada za zaidi wa huduma ya jeraha lake nilimpeleka kwao kwa huruma.
Lakini viongozi wa serikali mnapopata madaraka kwanini mnakuwa hamna huruma?
Watu wanajeruhiwa,kupotea na hamjali kabisa kuhusu damu za watu ni ukatili wa kiwango cha juu sana.
Hayo madaraka mwisho wako nini?Ogopeni hata tone la damu ya mtu.Kuweni makini na ulevi wa madaraka naumia sana.