Buza Kwa Mpalange
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 268
- 156
Kwanini matapekli wengi wanatumia namba za TTCL na kwanini wanaotumiwa SMS za kitapeli wengi ni wateja wa TTCL?
Sababu ni hizi hapa
1. Watu wa kwanza kulaumiwa ni HUDUMA YA WATEJA wa ofisin za TTCL. Hawa wanasajili laini zetu na ndio wanakutana na matapeli kisha wanatuuza, Mfano ni huu Mimi nilisajili laini yao makao makuu pale City Centre na hiyo namba sikuwahi kumpa mtu yeyote yule na hiyo nmaba nilikuwa natumia maalum kwa ajili ya intaneti tu kwenye simu yangu.
Hivypbas tapeli anamtafuta mfanyakazi wa ttcl kisha anamtoa kwa kiasi cha pesa yeyote ile tuseme 50k kish aanamwambia ampe idadi fulani ya wateja wapya wa ttcl tuseme watu 500 akishazipata hizo number ndio anaanza kuandika sms za kitapeli na kuzifowadi kwa wateja hao
2. Wanaosajili laini mtaani na vijiwebi, hawa nao ni kama ilivyo namba moja hapo juu.