Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,966
- 19,189
Nimepita mtandaoni, nikifuatilia maoni ya wadau mbalimbali kuhusu Al Hilal ya Sudan kushiriki ligi yetu ya NBC mwakani, wengine wameona ni jambo zuri kwa club hiyo ya kimataifa ya Sudan kuja kuongeza ushindani kwenye ligi yetu.
Lakini kwa mashabiki ambao wako mrengo wa Yanga nineona wakipinga vikali hili jambo. Nashindwa kuelewa sababu, mashabiki wa Yanga kwa nini hawataki? Hawataki timu za kimataifa? Wanaichukia Al Hilal? Al Hilal iliwafanya nini?