Kwanini Makocha wetu wa mpira wa Miguu hawapati ajira nchi nyingine?

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,321
4,671
Tumeona Asilimia kubwa ya vilabu vyetu vya soka vikiajiri makocha kutoka nchi nyingine tumewaona akina Micho,Omog,Kelly,Papic,Kondic,Van Plujim,Timbe,Jack Chamangwana,Marehemu Siangaa na wengine wengi wakipita kufundisha kabumbu hapa nchini.

Ila imekua vigumu sana kwa Makocha wetu Wazawa kwenda kufundisha Soka nchi za wenzetu angalau hata Afrika Mashariki tu Kocha wa Mwisho kumsikia kutoka nje na Bonifasi Mkwasa akiwa kama kocha msaidizi wa Hans Van Plujim.

Ni nini Tatizo la Makocha wetu wazawa kupata Ajira nchi nyingine kufundisha mpira???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…