Judah Tribe
Senior Member
- Sep 1, 2024
- 161
- 593
Nipo huku kijijini matolwa nawitwa Judah Kama kichwa kisemavyo Kuna mtu humu alikuwa ni mbishi sana kuhusu uwepo wa Mungu kuliko wote ambae ni min -me maana huyu alikuwa mbishi sana kuliko hata huyu Kiranga lakini baada ya kuelimishwa na kuthibitishiwa na walokole humu kuwa Mungu yupo Kawa mpole na kila Mada yeye anajificha na kumuita huyo kiranga.
Kawa muelewa na mpole na kujua kwamba MUNGU mkuu wa yote yupo lakini tatizo lipo kwa huyu kiranga au je kiranga Ndio huyu min-me at the same account kwanini huyu kiranga amekuwa mgumu licha ya kuelimishwa mara kadhaa.
Pia sio huyo tu ukitoka kwa kiranga yuko mwingine anaitwa infromer kama sijakosea Jina lake huyu Nae ni mbishi kuliko licha ya kuelimishwa na kuthibitishiwa
Na cha Ajabu ukiwaambia thibitisha kama MUNGU hayupo hawana cha kuthibitsha AU ACCOUNT HIZI NI ZA SHETANI MWENYEWE TUNAZO JIBISHANA NAZO