Synonyms MP
JF-Expert Member
- Jun 4, 2024
- 312
- 338
Orodha ya baadhi ya waliowahi kuwa wanachama wa CHADEMA,
Hawa wote siku wanahama CHADEMA walisema Tatizo la CHADEMA ni mwenyekiti Mbowe,
Hizi ni baadhi ya " Quotes " zao
1. Zitto Zuberi Kabwe: "Naondoka CHADEMA tatizo ni Uenyekiti wa CHADEMA"
2. Dkt Willbroad Slaa: " Nimeondoka CHADEMA Mbowe amebadili gia angani'
3. Patrobas Katambi; "Mbowe anakifisadi CHADEMA nimeamua kuondoka Leo"
4. Dkt Vicente Mashinji: " Siwezi kuishi kwenye Chama mali ya mtu binafsi "
5. Fredrick Sumaye: " Niliambiwa na Mbowe sumu haionjwi kwa Ulimi"
6. Peter Lijualikali " Mbowe anachukua pesa yote ya Chama anadai eti amekikopesha Chama"
7. David Silinde: " Mbowe sio mtu msafi ndani ya CHADEMA"
8. Cesili Mwambe " CHADEMA ukitaka kumpinga Mbowe lazima ung'olewe tu"
9. Joseph Selasini " CHADEMA inavurugwa na Mbowe kung'ang'ania madaraka miaka "
10. Joshua Nassari " Chama hakiwezi kuwa Cha mtu mmoja vijana tutaonekanaje"
11. Said Arfi " CHADEMA inaongozwa na mtu mmoja na mtu huyo sio msafi"
12. Sabreena Sungura " CHADEMA hata ofisi tumeshindwa kujenga pesa zote anazo Mbowe"
13. Upendo Peneza " Mbowe anaiua CHADEMA na hakuna demokrasia huko"
Tukumbuke Mbowe ni Mwenyekiti kwa takribani Miongo mitatu Sasa ( 30yrs )
Mbowe tangu miaka ya 1990's amekuwa Mwenyekiti wa BAVICHA na kisha chama.
Mbowe ni Mwenyekiti pekee wa Chama Cha Upinzani aliyedumu madarakani kwa muda mrefu zaidi.
Tangu kuasisiwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini Tanzania Mbowe ni Kiongozi wa CHADEMA.
Swali, Je, Nikweli kwamba Mbowe anaamini wenzake wote akiwemo Heche na Lissu wakipewa Uenyekiti watasaliti na kurejea CCM?
TUTAFAKARI!!