1 13codes Member Dec 17, 2016 14 6 Dec 31, 2016 #1 kwanini kila aliye fanikiwa unadai ni rafiki yako, ivi hamjawahi kukutana na watu wa namna hiii
Honey Faith JF-Expert Member Aug 21, 2013 15,783 11,813 Dec 31, 2016 #3 Aisee ngoja kwanza ninywe supu nikate hii hangover
wambeke JF-Expert Member Aug 30, 2013 2,655 2,648 Dec 31, 2016 #5 Honey Faith said: Aisee ngoja kwanza ninywe supu nikate hii hangover Click to expand... Hangover ja soda au hangover ya naniliuu
Honey Faith said: Aisee ngoja kwanza ninywe supu nikate hii hangover Click to expand... Hangover ja soda au hangover ya naniliuu
Kifurukutu JF-Expert Member Aug 29, 2013 4,641 6,691 Dec 31, 2016 #6 Billionea wote bongo na waliofanikiwa maisha ni marafiki wa LE MUTUZ Uyu ndio aje akujibu swali lako
Honey Faith JF-Expert Member Aug 21, 2013 15,783 11,813 Dec 31, 2016 #8 wambeke said: Hangover ja soda au hangover ya naniliuu Click to expand... Jana nimekunywa grants yani imenipeleka hatari
wambeke said: Hangover ja soda au hangover ya naniliuu Click to expand... Jana nimekunywa grants yani imenipeleka hatari
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Sep 21, 2011 16,515 28,493 Dec 31, 2016 #9 Wapo sana mitaani huku uswazi... Waze wa fix
wambeke JF-Expert Member Aug 30, 2013 2,655 2,648 Dec 31, 2016 #10 Honey Faith said: Jana nimekunywa grants yani imenipeleka hatari Click to expand... sijui hata kama unajua ladha yake
Honey Faith said: Jana nimekunywa grants yani imenipeleka hatari Click to expand... sijui hata kama unajua ladha yake