Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,222
- 1,238
Hilo swali muulize Bwana harusi yoyoye siku ukienda tena harusinihabari zenu wanajamii forum
Binafsi miaka ya karibuni naona kasi ya sisi wanaume kuoa au kufunga ndoa inapungua sana yaani sasa hivi kuoa kumeisha kabisa hivi kuna nini wanaume wenzangu.....hata nikihudhuria kwenye ndoa nyingi sasa hivi nakuta wakina dada vituko ndio wanaoolewa wakati masista duu wapo kibao mtaani wamepoteza dira,hivi jamani tujadiliane kuna mdudu gani hapa kati
kweli wanawake tusiowatarajia ndio wanaolewaWadada vituko..... ha ha haaaa nicheke mimi
kweli wanawake tusiowatarajia ndio wanaolewa
mwanamke akizidi kuwa mzuri anazidi kuwa tatizo
rubiiiiii...........kama na ww sista duu utakomaIli wazuri wawe michepuko labda maana sidhani kama wangeolewa wazuri tu hao vituko unaowasema wangepata wakuwasitiri....
sawa lakini hata kuishi na mwanamke wakati mtu unajiandaa kwa harusi imekuwa shida siku hizi sijui ndio kuchokana kwenyeweMasuala ya harusi yanaendana na masuala ya ajira...kuna ajira mpya ngapi nchini?
"Siku hizi upatikanaji wa mwanamke umekuwa rahisi zaidi ukilinganisha na zamani... siku hizi wife material wako wachache kidogo wengi ni mademu wa kuruka viwanja kwaiyo-No marriage is relation for enjoyment only after that we let her go"habari zenu wanajamii forum
Binafsi miaka ya karibuni naona kasi ya sisi wanaume kuoa au kufunga ndoa inapungua sana yaani sasa hivi kuoa kumeisha kabisa hivi kuna nini wanaume wenzangu.....hata nikihudhuria kwenye ndoa nyingi sasa hivi nakuta wakina dada vituko ndio wanaoolewa wakati masista duu wapo kibao mtaani wamepoteza dira,hivi jamani tujadiliane kuna mdudu gani hapa kati
rubiiiiii...........kama na ww sista duu utakoma
mwanamke akizidi kuwa mzuri anazidi kuwa tatizo