mpiga dili mzoefu Senior Member Dec 28, 2016 123 104 Mar 16, 2017 #1 Naomba mnijuze, Kwa hili nimefurahishwa na jinsi Malinzi alivyoitetea Zanzibar na je atachukuliwa hatua gani na serikali? Kwani ameonesha nyufa kwenye muungano.
Naomba mnijuze, Kwa hili nimefurahishwa na jinsi Malinzi alivyoitetea Zanzibar na je atachukuliwa hatua gani na serikali? Kwani ameonesha nyufa kwenye muungano.
qaxemvule JF-Expert Member Feb 6, 2017 231 120 Mar 16, 2017 #2 Kule hauna ubabaiahaji kule all africa sio kibongobongo
Luvanga1 JF-Expert Member Jun 5, 2014 2,026 1,704 Mar 16, 2017 #3 Unazani kule kuna figisu kama bongo...