britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,218
- 33,705
ISRAEL ISRAEL ISRAEL
Kila nchi ulimwenguni hasa ZILE kubwa zinajikomba Kwa ISRAEL , hata UMOJA wa mataifa kuna Muda unakuwa na kigugumizi juu ya Mienendo ya ISRAEL .
Israel inaogopeka saana na Mataifa mengine kutokana na:-
1. Uwezo wa teknolojia kijeshi na kijamii.
2. Uwezo wa intelejensia ndani na nje ya Israel. (Shin bet and Mossad)
Kuhusu swala la Intelejensia, Israel imeanza toka zamani mfano ni ile Habari katika maandiko matakatifu kitabu cha Hesabu 13:1-33 na 14:- inaeleza habari za Wapelelezi 12 wakiongozwa na Yoshua na kalebu.
Kumbuka maandiko yanaeleza hivi, wakati mmoja Ibrahimu, Isaka na Yakobo walikaa Kanaani. Lakini kwa sababu kulikuwako njaa kuu, Yakobo na jamaa yake, walihama wakaenda Misri.
Sasa, miaka kama 216 baadaye, Musa anawarudisha Waisraeli Kanaani. Wamefika mahali panapoitwa Kadeshi huko jangwani.
Basi Musa anawatuma wapelelezi 12, akiwaambia, Nendeni mkaone ni watu wangapi wanaokaa huko, na wana nguvu gani. Mjue kama udongo unafaa mimea. Mhakikishe kurudisha matunda fulani.’
Wapelelezi hao wanaporudi Kadeshi, wanamwambia Musa hivi: ‘Ni nchi nzuri kweli kweli.’ Na wanamwonyesha Musa matunda fulani kama uthibitisho wa upelelezi wao.
Kwaivyo swala la intelejensia limekuwa ni utamaduni wa Israeli na kwasababu hiyo Israel inaproject kubwa za kuzipeleleza nchi zote kubwa ikijumuuhisha Urusi na US ili kuhakikisha kwamba wanajua myenendo ya mataifa hayo ili kuhakikisha usalama wa wananchi wao na taifa lao.
Kwaivyo, Israel ni nchi pekee ambayo imefanikiaa sana kuvamia mifumo ya kiusalama ya mataifa makubwa na kuiba Siri kubwa ambazo wakati mwingine huziuza kwa nchi hiyo hiyo au kwa mataifa mengine (mteja mkubwa wa taarifa hizo ni US) hii Ndiyo sababu kubwa ya Israel kuogopeka.
Unaweza kupata muda guatilia oparesheni za kijeshi zilizofanywa na Israel ambazo hakuna taifa lolote ambalo liliwahi kufanya kabla ya hapo:-
i . Operation opera -kupiga kinu cha nyuklia cha Iraq.
ii. Operation Orchard (kupiga kinu ch nyukria cha Syrian)
iii. Operation thunderbolt - kuvamia na kukomboa wa Israel intebe Uganda.
iv. Operation Bayoneta (worth of God) -kulipiza kisasi cha mauaji ya ya wa Israel yaliyofanyika Munich
v. Operation Hunt for the Hungman of Riga/Nazi
Sasa tunaanza kuonna Russia anaanza kujuta Kwa kauli zake za juzi dhidi ya ISRAEL
Britanicca