Kwanini India imepitwa mbali kabisa na China kiuchumi wakati walikuwa mbele kuliko China?

Mi mi

JF-Expert Member
Jul 14, 2024
1,524
3,306
Mwaka 1987 India ilikuwa na ukuaji mkubwa kiuchumi kuliko China.

In 1987, China's GDP was $272.97 billion, while India's GDP was $279.03 billion:

China GDP
$272.97 billion

India GDP
$279.03 billion

Lakini 2024 China inakuaji mkubwa wa kiuchumi kuliko India.

China GDP
$18.2 T

India GDP
$3.8 T

In 1987, China's GDP per capita was $252, while India's was $342

China GDP per capita
$252
India GDP per capita
$342

Mwaka 2024 GDP per capita

India GDP per capita
2,698
China GDP per capita
12,970

Nini kiliwakuta India mpaka kupitwa mbali hivi na China ?
 
India wanazaliana sana kuliko China kwa sasa. Mwaka 1987 China ndo ilikuwa na watu wengi kuliko China but kwa sasa India ndiyo nchi yenye watu wengi zaidi duniani. Hivyo, Per Capita lazima ishike kama uzalishaji hauta outpass matumizi
 
downloadfile.png
 
Nafikiri hata jitihada za China kuwekeza zaidi kwenye Teknojia imechangia, Wanauza sana product kwenye soko la dunia.

China anachukua nafasi 129 kati ya 500 kwenye soko la teknolojia duniani wakati India anachukua nafasi 7 ya 500 tu.

Pia nchini China mitambo na mashime nyingi zinazoundwa zimechangia urahisishwaji wa shughuli nyingi zinazoingiza kipato hata kwa raia mmoja mmoja.

Mfano shughuli za kiufundi, ujenzi, kilimo n.k, ni rahisi sana kufanyika kwa kila raia wa China tofauti na India.

Japo India naye anakua kwa kasi sana ila mfumo wake wa kiutawala unampunguzia speed ya kumkuta China.
 
Sawa sawa
 
India naye anaelekea alipo China na marekani
Kasi ya ukuaji wa uchumi wa India ukilinganisha na China ni slower sana. Tuangazie tu miaka 10 iliyopita

Mwaka 2014
China GDP: $10.48 trillion
India GDP: $2.04 trillion

Mwaka 2024
China GDP: 18.27 trilllion
India GDP: 3.89 trillion

Ndani ya miaka 10 China imeongeza India 4 kiuchumi

India is not only years behind China but also has much slower growth
 
Kasi ya ukuaji wa uchuni wa India ukilinganisha na China ni slower sana. Tuangazie tu miaka 10 iliyopita

Mwaka 2014
China GDP: $10.48 trillion
India GDP: $2.04 trillion

Mwaka 2024
China GDP: 18.27 trilllion
India GDP: 3.89 trillion

Ndani ya miaka 10 China imeongeza India 4 kiuchumi

India is not only years behind China but also has much slower growth
Sawa sawa nimekuelewa
 
Back
Top Bottom