Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 861
- 2,330
Wakuu,
Najua nitakuwa sipo peke yangu, lakini mara nyingi huwa nikienda kwenye hizi hoteli kubwa the likes of Serena, Kilimanjaro Hyatt, huwa nakutana na bendera za nchi mbalimbali.
Zamani nilikuwa sijui maana ya bendera hizi na nilikuwa nadhani kwamba pengine bendera huwakilisha aina ya wageni ambao wako kwenye hoteli fulani.
Lakini ukweli ni kwamba hoteli nyingi husimamisha bendera kuonesha heshima kwa nchi nyingine na kuwafanya wageni wa nchi husika kujihisi wako nyumbani.
Ni jambo la kisaikolojia zaidi.
Imagine unapita katikati ya New York alafu unamuona mtu aliyevaa T shirt ya Taifa Stars anapigwa huku akiomba msaada kwa kiswahili.
It's more likely unaweza ukaenda kumsaidia kwa sababu umeona kwamba ana utanzania fulani na ni watu mliotoka eneo moja
It's the same way kwenye hoteli.
Bendera zinawekwa ili kujihisi na kukuvutia wewe uhisi uko nyumbani.
Kama kuna hoteli mbili zenye hadhi sawa, it's more likely utaenda kwenyee hoteli yenyr bendera ya nchi yako.
Nadhani kwa watu ambao wanasafiri sana watakuwa wameshanielewa!
Nawasilisha!