Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,943
- 19,130
Kama tunavyokumbuka awamu ya 5, aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Dar Paul Makonda alianzisha vita kali dhidi ya ushoga.
Baada ya muda kidogo vyombo mbalimbali habari nje ya nchi vikaripoti kuwa mashoga hawako salama Tanzania.
Serikali ya Magufuli kupitia waziri wake wa mambo ya nje wakasema mashoga wapo salama Tanzania na kuwa vita ya makonda haikuwa na baraka za serikali kuu na Makonda kupewa karipio kali.
Nauliza kwa nini Magufuli alikosa ujasiri kama wa Museveni wa kukaza kuhusu mashoga? Yaani akatoa uhakika kuwa mashoga wapo salama Tanzania?